Yah: Fremu za duka

TANMO

JF-Expert Member
Apr 12, 2008
11,464
11,166
Wakuu, mwenye uzoefu naomba mwongozo namna ya kupata fremu maeneo ya Mwenge, Ubungo au Manzese...
Kuna jamaa yangu anataka kufungua duka la kuuza nafaka kwenye mojawapo ya maeneo hayo na analalamika kuwa madalali ni wasumbufu na hawako straight kumsaidia.
Naomba mnipatie na uzoefu wa bei zake pia.

Natanguliza shukrani.
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom