Yafahamu majina ya utani ya wachezaji wa zamani tanzania

Method mogera....fundi kwangu mmoja wa wachezaji mahiri wa viungo kupata kutokea bongo,bahati mbaya amekufa mapepa bila kufikia kilele cha mafanikio yake,mungu amlaze mahari pema ameean.
 
Charles Boniface Mkwasa-Master
Ally Nassoro-Kibichwa
Ally Mchumila - Mkombozi
Rajab Rashid - Msingida
Rajab Rashid - Double R
Thomas Thowoe -TT
Mchunga Bakar - Mandela
Juma Pondamali- Mensah
Ahmed Omar - Mtoto Mdogo
Fred Felix - Minziro-Majeshi
 
Naam!!!!, kwa zamani hizi a.k.a zilikuwa zina reflect hasa kinachofanyika uwanjani na uhalisia wa jina husika; lakini kwa sasa ni balaa tupu.
 
George Masatu _ Kiandama
Omar Kapera - Mwamba Kapera
Haidar Abeid _ Muchacho
John Bosco - Mkong'oto
Doto Luta - Mokili
Mohamed Hussein - Mmachinga
 
Said Mwamba "kizota"
Itutu Kigi "Road Master"
Jumanne Shango "Mtaalam"
Razak yussuf "careca"
Mao mkami "ball juggler"
Celestine "sikinde" mbunga
Ally Malilo "loketo"
 
Naona wengi mmemsahsu !!
Emmanuel aka dubu !! (SSC = center foward)
Shabani Baraza aka ........ (SSC beki namba 2)
Rashidi Seifu aka mashoto (TPC) alileta ubingwa Gossage Cup !! Baada ya Hapo hatujapata Tena kombe!!
 
Issa Athumani-Mtaalamu
Method Mogella-Fundi
James Tungaraza-Bolizozzo.
Mao Mkami- Ball dancer
Sanifu Lazaro- Tingisha
Athumani Iddy -Chuji
Steven Mapunda- Garincha
Mashabiki wa Simba wakimsikia huyu Bolizozo tumbo zinawauma, huyo mchezaji wa zamani wa Stella Abijan kwa Tanzania alijipatia umaarufu zaidi ya raisi wa nchi.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom