Maishamapya
JF-Expert Member
- Nov 3, 2010
- 1,279
- 375
we ni shenzi tuu kwani wapinzani wao hawafati sheria zilizowekwa kihalali na bunge?? i hate magufuli sana coz ana ubabe sana,my dady alisoma nae na alishawahi kuniambia kuna siku magufuli aliwafungia mlango wa bweni kwa ubabe wake kisa tuu alikuwa ni kiongozi shuleni,magufuli acha ubabe watu hawatafuti uraisi kwa jinsi hiyo
Hivi Kashaga; si nilikuona kwenye thread nyingine ukimsema sana huyu jamaa. Sasa nimeelewa. Ugomvi wa dady yako na Magufuli ni wa kwao. Kama una bifu na jamaa kihivyo unaonaje ukalianzisha na watoto wake? Au dady wako kakuomba umlipizie kisasi nini?