Hii dua ilipigwa na Wazanzibari/Wapemba kuiombea nchi yao,hasa katika kipindi hiki ambacho imeelezwa huko Pemba na Unguja hali ya kisiasa inaelekea kuwa tete.Mungu awape kheri katika jambo hili la mpito
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.