Yaani natafuta pesa kwa shida hivi, halafu wewe unaniomba nikikuambia sina unanuna?

tang'ana

JF-Expert Member
Apr 3, 2015
11,809
15,057
wadada wa bongo muwe waelewa,wanaume tunatafuta pesa kwa tabu sana,so unaponiomba pesa nikakuambia sina, uelewe sina kweli sio unavimbisha mimashavu.
ona mfano wa jinsi wanaume tunavyorisk maisha yetu kwa ajiri ya kutafuta pesa
82e9f5ef5ecff65b79c104d56c029654.jpg
 
Ila kweli asee,halaf hiv kwanin wanapenda sana kuomba hela.?..tunasemaga wagogo ni omba omba ila wadada ni omba omba namba 1 duniani.
 
Hapo unanunua usumbufu heri sina answer
Sawa. Mimi siwezi kusema Sina. Ntamwambia ntakupa. Siku ikifika nikiwa nayo Nampa. Nikikosa ntamwambia bado sijapata. Inakuwa haimuumizi Sana. Kama kumwambia muda ULE ULE. Kwamba Sina. Ukimwambia ntakupa. Mwenyewe atajua akilini mwake kuwa jamaa kwa sasa Hana.
 
ndo vijana wengi wa kibongo huwa tunakosea hapo,wewe kiyu kama huna mwambie mtu aelewe kuliko kumpa matumainim hewa.
 
Ila kweli asee,halaf hiv kwanin wanapenda sana kuomba hela.?..tunasemaga wagogo ni omba omba ila wadada ni omba omba namba 1 duniani.
mengine hata kujishughulisha hayataki,yamebaki kuchat na kushabikia umbea wa mtaani.yanataka yapewe pesa bure bure tu eti kisa jitu lina papuchi
 
Sawa. Mimi siwezi kusema Sina. Ntamwambia ntakupa. Siku ikifika nikiwa nayo Nampa. Nikikosa ntamwambia bado sijapata. Inakuwa haimuumizi Sana. Kama kumwambia muda ULE ULE. Kwamba Sina. Ukimwambia ntakupa. Mwenyewe atajua akilini mwake kuwa jamaa kwa sasa Hana.
Ujinga wa hilo jibu lako utapigiwa simu za mara kwa mara kama deni arafu unampa tumaini huku huna uhakika
 
. Nashukuru. Wangu ni muelewa. Nikimwambia ntakupa anaelewa. Hapa nilipo Nina kiporo. Kesho natakiwa nikilipe. Ntampa.
 
Similar Discussions

0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom