Yaani natafuta pesa kwa shida hivi, halafu wewe unaniomba nikikuambia sina unanuna?

Mahusiano ya kimapenzi a.k.a mahaba niue ni gharama amini usiamini.

Kitendo cha kuwekana moyoni ni hatua kubwa sana ya kuona sehemu nyingine hakuna msaada isipokuwa kwako.

Upendo unapokolea vizuri, mpenzi wako anaweza kataa 50k ya sehemu nyingine, lakini akaitaka/kukuomba 20k yako.

Kama inawezekana mkuu, ahidi.
Ahidi utampatia siku flani, ila siku ukiipata umpe kweli ili kujenga imani nawe.

Acha kulialia utakosana na wengi.
Wanaume tumeumbwa mateso na kuchakarika.
We ni mwanaume
 
Toa ahadi. Hata kama ya uongo. Mimi uwa nawaambia ntakupa.
Ntakupa ni bora kuliko kumwambia Sina.
Kuna wengine anakuomba leo akitaka kesho umpe, mwambie sina uone anavyonuna.

Nina mmoj hapa anaweza tu kunishtukiza kua kesho anataka laki 5, nikimwambia sina ananuna balaa, akipewa labda 3 bado atanuna. Ni shida tupu.
 
Henry keeps telling me he just turned 30
Having dreams of being single forever he’s getting worried And I’m scared too because I’m in the same boat
Good women are rare too, none of them have come close
 
Kuna wengine anakuomba leo akitaka kesho umpe, mwambie sina uone anavyonuna.

Nina mmoj hapa anaweza tu kunishtukiza kua kesho anataka laki 5, nikimwambia sina ananuna balaa, akipewa labda 3 bado atanuna. Ni shida tupu.
Huyo wako balaa.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom