Yaani! Mhuuuuu!

LUCHELELE

Member
Jul 12, 2011
27
4
KULIKUA NA WANANDOA YANI MKE NA MME.SASA MWANAMME AKAWA NASHAISHANAA AU NAWEZA SEMA KUIKODOLEA MACHO MARRIEGE CERTITICET(CHETI CHA NDOA) then mwanamke akasema."mumu wangu,kulikoni..mbona unakodolea macho hichocheti cha ndoa .kinatatizo? mwanaume akajibu,hapana mke wangu nlikua nachunguza expire deti kwani nimeisahau.hatahivyo mchungaji katuchakachua kwani hajaandika expire date.itabidi tumrudishie akarekebishe.
 
Rudi shule ujifunze uandishi. Nakusifu kwa kujitahidi kupamba kwa rangi. Lugha ina makosa, makosa ni mengi sana. Rudi shule.
 
hiki kisa ungempelekea Shigongo angetoa bonge la story........................huh
 
KULIKUA NA WANANDOA YANI MKE NA MME.SASA MWANAMME AKAWA NASHAISHANAA AU NAWEZA SEMA KUIKODOLEA MACHO MARRIEGE CERTITICET(CHETI CHA NDOA) then mwanamke akasema."mumu wangu,kulikoni..mbona unakodolea macho hichocheti cha ndoa .kinatatizo? mwanaume akajibu,hapana mke wangu nlikua nachunguza expire deti kwani nimeisahau.hatahivyo mchungaji katuchakachua kwani hajaandika expire date.itabidi tumrudishie akarekebishe.

Inamaana alishamchoka huyo mwana dashost na tunakoelekea zitakuwepo
 
KULIKUA NA WANANDOA YANI MKE NA MME.SASA MWANAMME AKAWA NASHAISHANAA AU NAWEZA SEMA KUIKODOLEA MACHO MARRIEGE CERTITICET(CHETI CHA NDOA) then mwanamke akasema."mumu wangu,kulikoni..mbona unakodolea macho hichocheti cha ndoa .kinatatizo? mwanaume akajibu,hapana mke wangu nlikua nachunguza expire deti kwani nimeisahau.hatahivyo mchungaji katuchakachua kwani hajaandika expire date.itabidi tumrudishie akarekebishe.

Mkuu wajifunza kuchora kwa kutumia rangi?
 
nikianzia na title haina ushirikiano na habari/ucheshi...pia ni ya muda sana...nahis nikiwa form V!!tumejua tu kwamba unaweza kuweka color kwenye maandishi na kubadili herufi kubwa kuwa ndogo!!
 
Back
Top Bottom