Yaani Mbowe awamu hii mnavyomtamani, akitaka hata kuongea mnamuita kuuliza anataka kuongea nini

mr mkiki

JF-Expert Member
Sep 22, 2016
5,583
11,659
Mbowe is our leader - he represents humility, honesty, integrity, consistency, and compassion not forgetting wisdom - no leader in CCM can match him.

Yaani wanachokitaka CCM kwa Chadema sijui ni kipi, kuna muda wanada kukiua chamana wamedhamiria kabisaa.
Kuna mda wanataka kiwepo, maana utakuta wanasema Chadema hela ya ruzuku wajengee ofisi..

Mnataka nini CCM? Mnatuchanganya.

Yaani Mbowe awamu hii mnavyomtamani, akitaka hata kuongea mnamuita kuuliza anataka kuongea nini? Amefilisiwa, amefungwa Kweli atafune fedha za taasisi ambayo imesajiliwa na serikali kufanya siasa, halafu akabaki salama? Makosa ya uhujumu uchumi na utakatishaji fedha yamestaafu?

Ni kawaida ukiwa haukubali kununuliwa wanaanza kukutafutia maneno mengi!!

Mr mkiki.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Lazima aitwe maana Chadema imejengwa kwenye misingi ya uwongo, anaweza kupotosha umma
Mim nafikiri wangetumia muda kufanya mambo yakaonekana zaidi kwa watu kuliko kuwa attention sana na speech zake basi huenda tungefika mbali kama nchi, atizo sasa wanajikita kumkandamiza hawajui ndo wanamjenga na kujenga hoja zaidi.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
mr mkiki,

Ila naona kama baada ya kushinda kiunzi cha mahakamani na members kumchangia kutoka pamoja na wenzake sasa kwa gharama yoyote wanataka kumfanyia figisu..mara BILLION 8 sijui zimefanyaje n.k.

Watahakikisha chadema sio stable Hadi UCHAGUZI ili ionekane chama twawala ndicho kitashinda bila kelele za upinzani.
Ila yote tisa hizi siasa za chuki na ubabe zitakuja kuigharimu nchi miaka ya baadaye sana labda waache.

Hizi siasa zinapanda sumu ya chuki haswa kwa kundi la vijana wa Hii Nchi.

Yaani kinachofanyika sasa hivi ni kupigwa mchungaji ili kondoo watawanyike.

MÊmENtO HoMO
 
Yaani sasa tumeanza kuchukia hata masela wakicheka? Tunapambana na vibonzo? Jamaa kucheka ile suti ni kosa? Alipaswa kufurahi na kuipongeza ile suti ndio iwe sahihi asiwe kavunja sheria? Kuna mambo mengi sana ya kufanya kuliko kuchukia watu kuweka vibonzo. Hata utani ni marufuku?

Wameona labda kama yupo upande wa pili wa upinzani pengine kwa post zake.ila hizi chuki zinazopandikizwa na viongozi asee sijui yaani itakuwaje.

MÊmENtO HoMO
 
Back
Top Bottom