Responded HOJA Yaani Masaki nyumba inauzwa Bilioni 5? Hivi mnaonaje tukawa na LATRA ya KUCONTROL bei ya Ardhi na Kodi? Hali ni mbaya wakuu

Hoja ya Mdau inayopendekeza maboresho au mabadiliko ndani ya jamii, inayotakiwa kuangakiwa kwa mapana na Mamlaka husika
Bei ya kawaida sana hiyo Masaki. Ulitaka Masaki nyumba iuzwe shingapi?

Kama hiyo bei ingekua nyumba kule Ileje basi you had a point ila Masaki au Kkoo? Mimi nakushangaa wewe.
 
Kuweka utaratibu wa kudhibiti kodi za nyumba si kitu kibaya. Nakumbuka kulikuwa RENT Restriction Tribunal (sina hakika ndilo jina sahihi).

Shida ilikuja siasa ilipoingizwa na watu kuaminishwa kwamba kumiliki nyumba za kupangisha ni ubwanyenye. Matokeo yake haki za wamiliki zikaanza kupotea hata kufikia kumtoa mpangaji asiyelipa kodi ikawa ni ngumu.

Kama haya yatashughulikiwa kwa kila upande ukilindiwa haki yake hakuna shida.

Kenya kodi ni mwezi mmoja, deposit ya ya mwezi mmoja na pesa kwa ajili ya matengenezo Kama yatatokea. Deposit itatumika Kama mpangaji ameshindwa kulipa kodi kwa wakati na baada ya hapo ahame.
Huko kuna maeneo ya aina mbili asante mkapa na ownership 😄

Ova
 
Jamani

Huu ukuaji wa bei ya viwanja na nyumba ni kawaida kweli? Yaani nyumba kama hii huko Masaki inauzwa kwa Dola Milioni 2 kweli na hii ilikuwa ni 2023. Huko Kariakoo nimeona kuna jengo linauzwa kwa Bilion 5

View attachment 3595375

Hizo bei ni kama za Palm Beach Florida au kwenye Prime areas za huko Marekani. ambapo miundombinu (barabara, maji, umeme, na usalama) iko katika kiwango cha juu zaidi duniani.

Kulingana na takwimu za The Africanvestor (2026), bei za ardhi katika maeneo ya biashara zimekuwa zikipanda kwa wastani wa 10% hadi 15% kila mwaka

Mi nadhan muda wa kuanzishwa kwa chombo maalum cha udhibiti, tukiite LARA (Land and Rent Authority), ambacho kitafanya kazi kama LATRA inavyodhibiti usafiri, ili kuleta nidhamu kwenye soko la ardhi na pango nchini Tanzania.

Kazi za Bodi ya LARA (Land and Rent Authority)​

Bodi hii itakuwa na majukumu yafuatayo:
  • Kupanga bei : Kuweka ukomo wa bei ya chini na ya juu kwa kila eneo (Zoning price regulation) kulingana na huduma zilizopo.
  • Udhibiti wa Kodi Kuhakikisha pango la nyumba linaendana na thamani ya jengo na kipato cha eneo hilo, kuzuia wapangaji kunyanyasika.
  • Usajili wa Miamala: Kila mauzo ya ardhi lazima yapitie kwenye mfumo wa bodi ili kuzuia ukwepaji kodi na bei za "ujanja ujanja".
  • Kusimamia Madalali: Kuhakikisha madalali wamesajiliwa na wanafuata maadili, badala ya kuwa chanzo cha kupandisha bei ili wapate kamisheni kubwa.

View attachment 3595377

5. Mifano ya Nchi Zenye Mifumo Hii​

  • Ujerumani (Germany): Wana mfumo unaitwa "Mietspiegel" (Rent Index). Serikali inapanga kiwango cha pango ambacho mmiliki haruhusiwi kuzidi kulingana na eneo na ubora wa nyumba.

  • Singapore: Serikali inamiliki takriban 90% ya ardhi na inadhibiti bei ili kuhakikisha kila raia anaweza kumudu makazi kupitia bodi yao ya HDB (Housing & Development Board)

  • Afrika Kusini: Wana bodi inaitwa Rental Housing Tribunal ambayo inashughulikia migogoro ya pango na kuzuia upandishaji wa kodi usio na tija.
Hili nilishalisema mara nyingi sana humu.

Bei za nyumba Tanzania huwa haziendani kabisa na nyumba zenyewe.
 
Huko Florida kuna miundombinu mizuri na huduma za kijamii hata ikitokea ajali ya moto unahudumiwa haraka

Masaki barabara mbovu na vishandu wapo kibao, polisi wameshindwa hata kuwadhibiti

Value haiendani na bei
💯%.

Nimewahi kufanya kazi Wells Fargo Home Mortgage.

Rev. Kishoka alikuwa corporate colleague of mine…..

Haya mambo nayajua vya kutosha.

Hata ile market crash ya 2008, ambayo kwa kiasi kikubwa ilisababishwa na sub-prime mortgages, niliitabiri kwa washikaji tokea 2006/07, wakanibishia.

2008 yakatokea niliyokuwa nayasema. Na nilikuwa nayasema kwa sababu ya niliyokuwa nayaona kwenye backend ya mortgage process. Niliyokuwa nayaona hayakuingia kabisa akilini mwangu.

Same here! Hizo property prices sizo kabisa.

Halafu sidhani hata appraisal huwa zinafanyiwa.

Inaonekana watu huwa wanajitungia tu bei zao kichwani.
 
Jamani

Huu ukuaji wa bei ya viwanja na nyumba ni kawaida kweli? Yaani nyumba kama hii huko Masaki inauzwa kwa Dola Milioni 2 kweli na hii ilikuwa ni 2023. Huko Kariakoo nimeona kuna jengo linauzwa kwa Bilion 5

View attachment 3595375

Hizo bei ni kama za Palm Beach Florida au kwenye Prime areas za huko Marekani. ambapo miundombinu (barabara, maji, umeme, na usalama) iko katika kiwango cha juu zaidi duniani.

Kulingana na takwimu za The Africanvestor (2026), bei za ardhi katika maeneo ya biashara zimekuwa zikipanda kwa wastani wa 10% hadi 15% kila mwaka

Mi nadhan muda wa kuanzishwa kwa chombo maalum cha udhibiti, tukiite LARA (Land and Rent Authority), ambacho kitafanya kazi kama LATRA inavyodhibiti usafiri, ili kuleta nidhamu kwenye soko la ardhi na pango nchini Tanzania.

Kazi za Bodi ya LARA (Land and Rent Authority)​

Bodi hii itakuwa na majukumu yafuatayo:
  • Kupanga bei : Kuweka ukomo wa bei ya chini na ya juu kwa kila eneo (Zoning price regulation) kulingana na huduma zilizopo.
  • Udhibiti wa Kodi Kuhakikisha pango la nyumba linaendana na thamani ya jengo na kipato cha eneo hilo, kuzuia wapangaji kunyanyasika.
  • Usajili wa Miamala: Kila mauzo ya ardhi lazima yapitie kwenye mfumo wa bodi ili kuzuia ukwepaji kodi na bei za "ujanja ujanja".
  • Kusimamia Madalali: Kuhakikisha madalali wamesajiliwa na wanafuata maadili, badala ya kuwa chanzo cha kupandisha bei ili wapate kamisheni kubwa.

View attachment 3595377

5. Mifano ya Nchi Zenye Mifumo Hii​

  • Ujerumani (Germany): Wana mfumo unaitwa "Mietspiegel" (Rent Index). Serikali inapanga kiwango cha pango ambacho mmiliki haruhusiwi kuzidi kulingana na eneo na ubora wa nyumba.

  • Singapore: Serikali inamiliki takriban 90% ya ardhi na inadhibiti bei ili kuhakikisha kila raia anaweza kumudu makazi kupitia bodi yao ya HDB (Housing & Development Board)

  • Afrika Kusini: Wana bodi inaitwa Rental Housing Tribunal ambayo inashughulikia migogoro ya pango na kuzuia upandishaji wa kodi usio na tija.
3P's za real estate:
1.Location
2.Location
3.Location

chanika kiwanja laki nane kimanzi mbande nyumba kali finishing imenyooka 25M ila ukijaa lazima ufurahi
ao wa masaki waheshimiwe tu
 
Fuatilia nchi zozote zenye fedha "safi" bei huwa zipo hivi, watu hawajali bei .
Sasa hivi mwananyamala nyumba ilikuwa 70 milion inauzwa 300 milion na kuna jamaa wala hawana kushusha, wanalipa chap!
 
Ha ha ha eti hela 'safi' yaani kuna sehemu jamaa amekata viwanja kiuhalisia angeuza 25-40m na mimi nilitaka kuchukua, eneo kubwa zuri jamaa anauza 80m. Na vimekwisha viwanja karibu 100 hata miezi mitatu haijaisha. Yaani watu hawajiulizi bei wananunua tu.
 
Sio kila kitu kinatakiwa kuamuliwa na soko

Mbona bei ya mafuta na nauli wanaregulate?
Plus Umeme na Vyakula(km mchele,mahindi,maharage na sukari)...
Ila ardhi na majengo ni ngumu hujui mtu alijenga au aliinvest kiasi gani so mtu huwezi kununua kiwanja au nyumba Kwa million500 au billion5 kanunue unapopamudu kulingana na nguvu soko ya uko maeneo km kisemvule,Vikindu uko, Zingiziwa na Mvuti au mikoani kabisa utafute mapori ambayo Bado au yanayoanza kurasimishwa na serikali
 
Back
Top Bottom