Johnny Sack
JF-Expert Member
- Jan 21, 2017
- 8,779
- 18,746
Rais Magufuli msimamo wake kuhusu Corona Africa unaweza kuwa kweli 100%. Kuwa Ni kaugonjwa kadogo na cost ya kufungia watu Ni kubwa zaidi kuliko madhara ya ugonjwa wenyewe
Lakini mbona majirani zetu wameendelea na msimamo wao uleule wa kupima, kufungia watu ndani hata baada ya kuona Tanzania hakuna madhara yoyote yanayoonekana baada ya kuachia Kila kitu?
Ina maana Marais wenzake wanamuona Kama kichaa ambaye hajui afanyalo? Akina Museveni, Kagame, Kenyatta wote wamefuata misimamo tofauti na Tanzania, Ina maana Tanzania hatuna ushawishi kabisa?