Yaani kabisa Try Again, CEO Barbara na Chairman Mangungu mmeamua mumteue 'Samjo Samjo' Mwinjaku kuwa Mhamasishaji Mkuu wa Simba SC?

GENTAMYCINE Nitawadharau Simba sana kama itamteua Mwijaku kuwa msemaji wao
Na nimeshawapa 3 to 7 Ultimatum ya kumuondoa Mwinjaku kama Mhamasishaji Mkuu wa Simba SC vinginevyo naenda Kuuchafua Uongozi uliopo na kuanika hadharani Siri mbaya za Klabu na Upuuzi ( Upumbavu ) wao
 
Hujui siku zote vichaa ndo wenye kupedwa kusikilizwa wamekutana wote kinachomuongezea manara kichaa jinsi alivyo..
Mkuu Mimi licha ya kuwa ni Shabiki wa Yanga damu na nimekubali nizikwe ndani ya uanachama wa timu hii ya Yanga, ila kwa huyu MWIJAKU watani zangu mumeharibu.

Huyu jamaa kichaakichaa sijawahi kumkubali hata akiwa pale MawinguFM.. Naona ametumia nguvu nyingi sana kutafuta hzo mambo ila Mwijaku ni Kolo kama makolos mengine
 
Manara ni kichaa lakini mpira anaujua huyo mwingine mpira hajui kabisa
Kiboko ya Haji Manara Tanzania nzima ni Jamhuri Kihwelo akifuatiwa na DC Jerry Muro na bahati nzuri hata Manara Mwenyewe anamuogopa Kihwelo kwani anamjua kuwa ni Mzungumzaji mzuri, anajua Kuchamba, Kukera halafu ni Mtoto wa Mjini vile vile na Soka si tu kuwa analijua bali amelicheza na Kulifundisha pia.
 
Kihwelo ni mtu sahihi kwasababu ni muongeaji mzuri tena mzuri mara 100 zaidi kuliko Manara,lkn Simba watamkosea heshima Kihwelo kumpa kazi ya namna hiyo ya kushindana na Manara kuropoka mtu ambaye hana lolote analolijua kuhusu mpira(KIUFUNDI)

Hadhi yake ni ukocha tena kocha mzuri tu,kupewa kazi ya kuchambana na watu ni kumkosea heshima na kuishusha hadhi yake
 
5 Reactions
Reply
Back
Top Bottom