Yaani ITV mkutano wote wa CHADEMA la maana kuripoti mliloliona ni kuhusu kuongeza aya kwenye wimbo mengine hamjayaona

Sasa mlitaka ITV walipoti kitu gani kingine chenye manufaa kwa taifa kutoka kwenye mkutano wa wanyanyembe wa saccos ya Mbowe?
 
Yaani taarifa ya habari ITV mlichoona cha maana kuripoti kutoka mkutano wa CHADEMA Ni kuhusu kuongeza aya ya tatu kwenye wimbo wa taifa, tena kwa kumuonesha jaji mtungi tu

Mengine yoote hamjaona ya maana bali Hilo moja tu! kweli?
Principle ya vyombo vya habari dunia nzime.........

”When a dog bites a man, its no news. When a man bites a dog thats BIIG NEWS”
 
Yaani taarifa ya habari ITV mlichoona cha maana kuripoti kutoka mkutano wa CHADEMA Ni kuhusu kuongeza aya ya tatu kwenye wimbo wa taifa, tena kwa kumuonesha jaji mtungi tu

Mengine yoote hamjaona ya maana bali Hilo moja tu! kweli?
Itabidi CHADEMA kama chama kijitahidi kianzishe TV station yake ili kuepusha haya
 
8 Reactions
Reply
Back
Top Bottom