Yaan SITOISAHAU ASUBUHI hii

PHOTO

Member
Mar 14, 2014
60
11
Asubuhi umeamka unataka kwenda kazini , ukasema ngoja uongeze maji kwenye rejeta kwenye gari yako, ile kufungua tu boneti unamkuta katulia kama hivi ungefanyaje ????
 

Attachments

  • ASUBUHI AMEAMKA UNATAKA KWENDA KAZINI  KWENYE GARI YAKO UNAMKUTA KATULIA KAMA HIVI  UNGEFANYAJE.jpg
    ASUBUHI AMEAMKA UNATAKA KWENDA KAZINI KWENYE GARI YAKO UNAMKUTA KATULIA KAMA HIVI UNGEFANYAJE.jpg
    106.5 KB · Views: 2,164
Asubuhi umeamka unataka kwenda kazini , ukasema ngoja uongeze maji kwenye rejeta kwenye gari yako, ile kufungua tu boneti unamkuta katulia kama hivi ungefanyaje ????

attachment.php



Hiyo kitu haiwezi kutokea, kwa sababu kwa jinsi alivyojaa hapo huwezi kufungua bonet na kuliacha wazi namna hii, lazima utaachia lijifunge lenyewe. Hapo inaonyesha bonet lilifunguliwa na likaegeshwa vizuri tu.
 
Hii ndio inaitwa mdudu ndani ya kokwa la embe kaingiaje
 
Kwanza nyoka hawezi kuingia kwenye gari eneo hili maana lina harufu ya petrol na oil vitu ambavyo nyoka hataki kuvisikia, labda iwe ni sayansi ya Kitanzania, yaani nguvu za giza. Aidha, ikitokea ameingia nikimwona tu, nafunga haraka. Nawasha gari kuelekea kazini joti lake atatoka tu bila kupenda.
 
Back
Top Bottom