Mphamvu
JF-Expert Member
- Jan 28, 2011
- 10,702
- 3,288
Ni wazo zuri kubadili upepo wakati huu wa maandalizi ya nusu ijayo ya msimu wa ligi.
Lakini nina tatizo kidogo na safari hii... Na kudeclare interest, niko in favor of Simba kwenye derby ya Kariakoo.
Nadhani tumeiga Ulaya ambako huwa wanaenda pre-season nje ya bara lao bila kujua mantiki ya safari zao. Wale huwa wanaenda kufanya utalii pamoja na kuimarisha base zao za biashara, Madrid wanae Ronaldo Maguvu ambae kutua kwake Japan au Korea kutapandisha mauzo ya jezi zao na bidhaa zingine za timu, Manchester United wanao kina Rooney, RvP na wengineo kwa matumizi hayo hayo. Kwao, licha ya kuingia gharama kubwa lakini kuna kitu wanapata in return.
Endapo Yanga wangekuwa wanaenda kwenye game za kimataifa msimu ujao ingeweza kuleta maana kwani wangejenga mazingira ya kucheza na timu za nchi tofauti hasa za Uarabuni ambazo huwa tunapata nazo shida kwenye michuano ya CAF.
Kingine ni pesa, tunajiingiza kwenye matumizi ya sifa yasiyo na msingi ili tu kumkoga mtani. Mpunga wa kusafirisha timu kwenda huko ungeweza kutumika kwenda Mombasa au pengine kwenye unafuu na chenji ikabaki ya kufanyia upembuzi yakinifu wa estadio letu. Pengine Yanga wanafuata training facilitez nzuri, lakini training uwanja mzuri halafu mechi Sokoine na Kaitaba? Wote ni mashuhuda wa jinsi pre-season training yao ya Mwananyamala ilivyowawezesha kukabiliana kwa uzuri na viwanja vya mikoani na kuvuna pointi Mkwakwani, Amri Abeid na Sokoine...
Ni vizuri kwenda nje, lakini ni Good for Nothing.
Inapendeza sana kuwaringishia washabiki wa Simba safari ya Turkey, lakini kwa malengo ya muda mrefu hamna kitu hapo, ni siasa za mpira.
Yanga Imara.
DAIMA MBELE, NYUMA MWIKO!