Ya Tunisia, Misri na sasa Libya yanaweza kufika Afrika Mashariki na Tanzania?

mmaroroi

JF-Expert Member
May 8, 2008
2,960
544
Maandamano ya Nchi za kiarabu na za Kaskazini mwa Afrika yanaweza kufika Afrika mashariki na Tanazania kutokana na kutoshamiri kwa demokrasia na uhuru wa maamuzi ya wananchi?Pamoja kuwepo kwa vyama vingi Afrika Mashariki lakini kuna ukiritimba wa uongozi kwa vyama tawala na kuna viashiria vya vyama hivyo kutokuwa tayari kuachia madaraka kwa vyama vingine na matokeo yake ni uchakachuaji wa matokeo.Je kwa chaguzi zijazo ambapo wananchi wa nchi hizi watakuwa wameelimika zaidi kunaweza kuwa na mabadiliko au maanadamano kama ya Misri, Tunisia na sasa Libya?
 
Back
Top Bottom