Ya PIUS LUHENDE NA DITOPILE MZUR KWAO ! Damu nzito kuliko maji

sifi leo

JF-Expert Member
Mar 30, 2012
3,472
2,000
Miaka mingi iliyopita Ndgu yetu Ditopile mzur kwao, alifanya mauaji ya Dereva mmoka wa Aice jijini Dsm, eneo la Kawe!

Ndgu yetu Ditopile kulingana na undugu, ukarbu alio kuwa nao na rais wa awamu ile na kulingana na jina lake kuwa kubwa nchini baada ya kufanya mauaji yale basi alikamatwa na kufikishwa mahakamani baadae aliukumiwa kwenda jera kwa kosa la kuua paspo kukusidia,alikaa jera miaka kadhaa baadae akawa huru!

Tulio kuwa na akili alipo toka jera tulihoji! Hiv kweli huyu baba aliua paspo kukusudia wakat alitoa bastora mfukoni, akamlenga dreva,kama haitoshi akabonyeza kitufe cha kuruhusu risasi itoke nje ikatoka!?

Baba wa marehemu aliyeuawa alitamka maneno machache tu,yakuwa anamwachia Mungu!

Ditopile alivyotoka gerezani, vidore vya wanadamu vilichangia yy kuaga Dunia! Kila alikopita watu walinyoosha vidore! Huku wakisikia kusema huyo ndo Ditopile bhana aliye ua dreva wa aice!

Baada ya muda mfupi yule mzee wety aliaga Dunia swez sema Mungu amrehemu hapana!

Sasa leo tena linakuja ili la Piusi Luhende jaman, mimi staki niamini kuwa ana undungu na mtu yyte na undugu huo umempa kibri mpka afikie atua amfate mwalifu au mkosaji wakat ibada inaendelea na kufanya mauaji!

Pili kwa sasa tuko dailema familia ya aliyeuawa inasema aliyeua ni piusi luhende, jeshi la police wanasema aliyeua ni Askar wa wanyapoli!

Binafsi hapa naamini kabsa paspo shaka kuwa mkurugenzi lazma aliusika na naamini kwa kuwa familia na waumini walikuwa kwny ibada, wakati wa Tukio Police hawajakuwepo sasa wanapingaje ushaidi wa familia?

Tatu lazma tuelewane hapa kuwa katika msafara ule mkurugenzi yy ndiye aliyekuwa kiongozi wa msafara kwa hiyo hata kama hakuua yeye aliyetakiwa kutoa AMRI kwa askari ili wafanye mauaji hayo ni mkurugenzi! Kwani yy ndiye aliyekuwa Team Capteni wa mechi ile.

Jeshini tunatambua ilo liko wazi, askar wa wanyama poli kazi yake sio hiyi alienda kufanyaje hapo kanisani?

Mnyama gani alifatwa hapo?

Nataka niseme, kama kweli Pius Luhende uliua au uliamrisha mauaji ujiandae kukaa ndani hata miaka mitano kwa kosa la kuua paspo kukusudia ila hata siku utakayotoka jera hakikisha unatumbu dhambi ya kuua maana uspo fanya hivyo ukabakia na kiburi vidole vya wanadamu vitakutoa uai!
Mungu popote ulipo mpe adhabu ya kaburi ndugu yetu Ditopile!

Sent using Jamii Forums mobile app
 

mashakani

JF-Expert Member
Aug 15, 2018
618
1,000
hii inamuhusu sana mbowe na genge lake. chacha wangwe.regia mtema.ben saa nane.tundu lisu na n.k
Kuna swali huwa wanaccm mnakuwa wazito kulijibu, kama mambo yote haya mnayosema ni kweli kwanini mpaka leo ha,ujawahi kumshtaki huyo mbowe? au yuko juu ya sheria
 

Kinyungu

JF-Expert Member
Apr 6, 2008
9,505
2,000
Serikali ikimlinda huyu Bwana Shija lazima damu ya huyo marehemu itakuja kumchukua kama ilivyokuwa kwa Ditopite
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Similar threads

Top Bottom