Sanctus Mtsimbe
R I P
- Jul 14, 2008
- 1,820
- 1,031
Miaka mingi leo baada ya kumaliza pale Chuo Kikuuu Mlimani - UDSM, bado sijaelewa Mzee Punch ni nani. Kulikuwa na hizi Ten Commandments za Mzee. Zilikuwa very mysterious.
Thou shall not sit on the high table . . . . nk
Mzee has been there and he never graduates na mengine mengi . . . .
Kuna hili pia la watoto wa mjini wakijiita Hill Siders ambao walikuwa wanaratibu parties zao na wasichana wazuri wazuri enzi hizo, huku simulizi nyingi zikinikumbusha mikwala yao . . . Oooh, unajua Benz ile inakuja ni Msure yule, akiniona hapa ni noma sana. Mara Oooh, Home kuna Swimming Pool na House Boy ana Pick-Up ya Majani ya Ng'ombe. Mara ukija home ukakuta kimya sana jua watu wanaangalia movie, ukisikia kelele basi kuna party n.k.
Hebu wakulu tukumbushane na vijana mlio mlimani sasa: Je ni yapi ya kukumbuka ya Mzee Punch na Vipi Hill Siders? Ni nini hasa unakumbuka ukiwa Mlimani?