Ya Mulugo: Was Only a Slip of Tongue! [Aliteleza Ulimi tuu]

Hakuna sababu ya kutafuta sababu ya lililotokea wakati hali halisi imejionyesha kuwa Naibu alikosa confidence na hii huwa inatokea kwa sisi ambao lugha hii si yetu na pia hatuna uzoefu wa mikutano ya kimataifa. La maana ni changamoto kwa kila mmoja wetu kujiamini na kujiandaa tunapopata nafasi za kuwakilisha nchi yetu.
 
Kaka DC,

Sijakataa kuwa jamaa kafanya kosa na kachemka... Ukinisoma upya hapo utakuta kuwa nimesema ni kheri angekuwa wazi na kusema kuwa lugha hiyo inamsumbua. Hio statement ingemletea heshima kwa kuwajibika na kusema kweli kuwa HAWEZI badala ya kujitetea ambako kunafanya mambo yawe worse!

Hili la kukosea kama wananchi tupo hodari sana! Na hio ndio down fall yetu Watanzania, huwa tunajuwa sana kukosoa lakini sio kutenda wala kufanyia kazi pale ambapo tunaweza!

Hivi kaka kwa trend za siasa na hali halisi ya nchi unadhani huo mchemko ungefanywa na kiongozi wa CDM inge make headlines kama ilivyo sasa? Ama unadhani kuwa huyo Mulugo angekuwa muwajibikaji to the extend anajulikana kwa kazi nzuri anayofanya katika nafasi yake kuna watu wangemcheka kwa hilo? AU tu unadhani kuwa CCM wasingekuwa na makashfa yoote yaliyopo toka nepotism, ufisadi na mambo kibao yasio hesabika angekuwa judged vibaya?

Hapa issue ni kuwa tayari ni wazi kuwa Mawaziri wa JK kwa kiasi kikubwa na failures, hivo kosa lolote lile analofanya hata kama la kibinadamu hata dogo vipi ni LAZIMA ashambuliwe na jamii sababu jamii IMECHOKA. Lakini bado hio hainipi sababu ya mimi kulichokulia kama mwanajamii aliyechoka bali tu kama mwanadamu. Na narudi pale pale kuwa sio kosa lake kukosea lugha thou kosa kubwa ni yeye kuwepo katika nafasi ambayo hastahili kuwepo...

Kwa mtazamo wangu huu ukosoaji ni halali kabisa kwa sie wananchi, ila ni vizuri tukifanya hivyo for the right reasons...
 
Watu sasa wameanza hata kuhoji elimu yake!. Watanzania sasa tumekuwa wagonjwa wa "paper qualifications" watu humu sasa wanamkomalia kuhusu elimu yake!. I doesn't matter jamaa ni jembe kweli!. Nimemshuhudia akipiga mzigo wa kufa mtu!. Akifanya ziara za kikazi popote, hufanya 'surprize visit" kwenye mashule au vyuo na kuibua madudu!.

Tumhukumu mtu kwa utendaji wake na sio kwa "Sleep of a tongue"!.
Pasco.
Hivi wizara yake inahusika na vyo vikuu? Naomba kumbukumbu kama aliwahi kufanya surprise chuo kikuu chochote...
 
Peoples sorry for my Ignorance, naomba kuuliza tu, conference zote kubwa nikiangalia kwenye kiruninga changu cha black & white huwa naonaga wahudhuriaji wote wameweka vidubwasha masikioni, hivi zile ni Bluetooth za simu zao ili wasikose mawasiliano au hivyo mnaita vihead phone huwa vina kazi gani?
 
1. mulugo hajui kusoma kwa kutumia lugha ya kingereza

2. elimu yake ni ya mashaka sana

3. hajiamini anapokuwa mbele ya hadhara

4. wala asijitetee kuwa aliteleza ni upuuzi tu........tangu lini mtu makini anayejua kusoma presentation akawa anasoma mstari kwa mstari?!!.....
 
HUYU "MWALIMU MZOEFU" wa somo la historia kama alivyojiita mwenyewe hajateleza ulimi wala nini.
Kakubali kuwa hana umahiri wa kutumia PPT... kwanini basi alikubali kwenda kufanya presentation kwenye hadhira ya kimataifa huku akijua ni maamuma kwenye hilo eneo? Uzoefu wake kama mwalimu hatujauona popote kwenye ile presentation na hata hapa radioni kwenye kujitetea.
AKUBALI YAISHE KUWA HANA SIFA ZA KUWA WAZIRI WIZARA YA ELIMU BAAAS!
Hili ni fundisho kuwa MAWAZIRI WANATAKIWA AMA KUWA MAHIRI SANA KWENYE MAMBO MENGI, AU BASI WABAKIE KUPIGIA DEBE TU SERA ZA CHAMA BILA KUINGILIA MAMBO YA TAALUMA ZENYE WENYEWE.

Wizara zetu zina baadhi ya watu mahiri ambao wangeweza kutuwakilisha vizuri kwenye mikutano mikubwa na kutoa mada kwa viwango vinavyotakiwa. Hata hivyo, watu wa namna hiyo hawawezi kupewa nafasi kwa sababu safari za nje zinalipa sana....

Kwa level ya senior staff...per diem kwa siku ni zaidi ya dola 420...Kwa ngazi ya Naibu waziri itakuwa ni kiwango cha juu zaidi ya hapo....Na wakati mwingine watu wanajiongeze siku....

Pia wakubwa wengine wanatamani kwenda kujionesha hata kwenye matukio ambayo ni ya kitaaluma...

Matokeo yake ni kuumbuka wao wenyewe na kututia aibu kama taifa!
 
kama kweli It was only a slip of a tongue kwa nini hajui awards ambazo zinatolewa Tanzania fuatilia hiyo ppt yake then utakuta VETA wanatoa NTA level 1-3 its ok then NACTE wanatoa NTA level 4 to 8 then anasema NTA level 9 to 12 wanatoa Higher National Diploma kweli hiyo ipo? mwambie NTA level 9 to 12 its post graduate na hao NACTE & VETA its just a tool to monitor and control those awards under government and non government Institution and universities

VETA Wanasimamia/kumonitor NTA Level 1-3.
NACTE Wanasimamia/kumonitor NTA Level 4-12. Higher National Diploma iko hapo katikati ya NTA Level 7-8 ingawa bado NACTE hawaja declare exactly hiyo awards ni level ipi but seems ni NTA Level 7.
 
Habari wana jf
naomba mod hii kitu iacheni hivi
msiichangane na maada ya kosa lake

Ikiwa anaojiwa na pj wa cloud fm, wazir huyu amekili kosa kuwa alichanganyikiwa kwani alikuwa anatumia powerpoint na wazir aliyetoka baada ya yeye kuongea ni waziri wa elimu wa zimbabwe nakatika akili yake hakawa bado anafikila naye na then kusema ni kuteleza kwa ulimi tu

Kuhusu mwaka pia amekili ni kosa alivyosema 1~19 6 4 kwenye 19 alimaanisha 9 tu

Lakini sasa kaulizwa je jibu nilipi akasema tanzania ni muungano wa zanzibar, pemba na tanganyika ndio kosa lingine ili kwani ata class one anajibu zuri tu kuwa ni ZANZIBAR ( unguja na pemba) na TANGANYIKA

MY TAKE
Waziri jaribu kudeal sana na watanzania wenzako zaidi, mambo yanayohusu lugha ya nje, n.k muachie doctor K ayafanye

Bado tusubiri
~steven masele
~janeth mbena n.k

V
SENGEREMA
Mkuu nakubaliana na wewe kwenye rangi ya bluu hapo juu, ila jaribu na wewe basi kujirekebisha hapo kwenye rangi nyekundu tusije tukakujumuisha na Mulugo.
 
Habari wana jf
naomba mod hii kitu iacheni hivi
msiichangane na maada ya kosa lake

Ikiwa anaojiwa na pj wa cloud fm, wazir huyu amekili kosa kuwa alichanganyikiwa kwani alikuwa anatumia powerpoint na wazir aliyetoka baada ya yeye kuongea ni waziri wa elimu wa zimbabwe nakatika akili yake hakawa bado anafikila naye na then kusema ni kuteleza kwa ulimi tu

Kuhusu mwaka pia amekili ni kosa alivyosema 1~19 6 4 kwenye 19 alimaanisha 9 tu

Lakini sasa kaulizwa je jibu nilipi akasema tanzania ni muungano wa zanzibar, pemba na tanganyika ndio kosa lingine ili kwani ata class one anajibu zuri tu kuwa ni ZANZIBAR ( unguja na pemba) na TANGANYIKA

MY TAKE
Waziri jaribu kudeal sana na watanzania wenzako zaidi, mambo yanayohusu lugha ya nje, n.k muachie doctor K ayafanye

Bado tusubiri
~steven masele
~janeth mbena n.k

V
SENGEREMA

Jamani muacheni Mulugo imeshatosha. Tumeshafahamu kachemsha na amemuaibisha aliyemteua. Mbaya zaidi ametuaibisha Watanzania kwa ujumla, maana tumejulikana kuwa tuna Naibu Waziri wa Elimu wa kiwango hicho. Imetosha!

Kukosoa ni rahisi sana lakini unakuta hata wakosoaji nao wanakosea katika kukosoa. Hebu soma hicho kiswahili na ungeandika kiingereza je? Si ingekuwa zaidi ya Mulugo?
 
Hivi wizara yake inahusika na vyo vikuu? Naomba kumbukumbu kama aliwahi kufanya surprise chuo kikuu chochote...
Hutendi haki hata sisi wasomi wa VETA ni wahitimu wa chuo/vyuo pia. huyu ni Waziri muhusika wa vyuo hivyo. kumbuka hata darasa la 7 ni Graduate pia.
 
Habari wana jf
naomba mod hii kitu iacheni hivi
msiichangane na maada ya kosa lake

Ikiwa anaojiwa na pj wa cloud fm, wazir huyu amekili kosa kuwa alichanganyikiwa kwani alikuwa anatumia powerpoint na wazir aliyetoka baada ya yeye kuongea ni waziri wa elimu wa zimbabwe nakatika akili yake hakawa bado anafikila naye na then kusema ni kuteleza kwa ulimi tu

Kuhusu mwaka pia amekili ni kosa alivyosema 1~19 6 4 kwenye 19 alimaanisha 9 tu

Lakini sasa kaulizwa je jibu nilipi akasema tanzania ni muungano wa zanzibar, pemba na tanganyika ndio kosa lingine ili kwani ata class one anajibu zuri tu kuwa ni ZANZIBAR ( unguja na pemba) na TANGANYIKA

MY TAKE
Waziri jaribu kudeal sana na watanzania wenzako zaidi, mambo yanayohusu lugha ya nje, n.k muachie doctor K ayafanye

Bado tusubiri
~steven masele
~janeth mbena n.k

V
SENGEREMA

POSHO (DSA) atapata wapi akimuachia Dr?
 
Pasco

Hilo ni kosa la kawaida la kibinadamu kwa binadamu asiye wa kawaida. Hiyo ni brain sleep na sio tongue slip.
 
Last edited by a moderator:
halafu mara nyingi penye ''of'' alikuwa anaweka ''for''.....bado ni kuteleza tu?!!
 
Mkuu Pasco,

Kabla hujaamua kumtetea mtu, pitia kwa makini alichokuwa anakisema bila kujali kilichokuwa kinaonekana katika projector. Waziri kachemka mno, mimi binafsi nachojua Zanzibar ni muunganiko wa visiwa vya Pemba na Unguja na sio muunganiko wa visiwa vya Pemba na Zanzibar, je, Zimbabwe yatoka wapi hapo?

Waziri kazidi kuonesha udhaifu alipokuwa anajitetea Clouds FM. Kama ni slip of tongue kama alivyosema Pasco, huo ulimi wa Mh. Waziri Philipo Mulugo utakuwa umepitiliza elasticity point sasa umekuwa point of plastic.

Mkuu Pasco think big.
 
Hivi wizara yake inahusika na vyo vikuu? Naomba kumbukumbu kama aliwahi kufanya surprise chuo kikuu chochote...
Mkuu Tupo, kabla sijakujibu naamba kwanza kukuuliza swali dogo tuu, Neno vyuo maana yake ni vyuo vikuu tuu?.
 
Back
Top Bottom