Ya Mabina ni hasira za tokomeza ujangili

KirilOriginal

JF-Expert Member
Feb 13, 2012
2,161
1,147
Wakuu,
Wananchi wanadai kitendo ambacha watumishi wa serikali walikuwa wanawafanyia wananchi bila hatua kuchukuliwa ndicho kilichowasababisha kuchukua maamuzi ya kumwua Mabina.
 
Nchi imewashinda watawala hawa! Wamekuwa mzigo mkubwa kwetu sisi walala hoi. Vipi elimu? Je afya, namna gani maji? Alafu umeme je? Kilimo vipi? .....kila mtu pale ni mzigo! Ndugu wananchi, nani wa kututua mizigo hii? Hata baraza zima la mawaziri likivunjwa, mambo ni yaleyale....mizigo tu. Kiranja wao ndo hivyo, sasa hivi ni kama anayeishi nje ya nchi, na humu anafanya kupita tu! Mzigo mkubwa! Unafuu wetu utatoka wapi?
 
Back
Top Bottom