Ya Lamwai yaweza kumkuta Tundu Lissu!

Nawashangaa wanaoshindwa kuelewa mpaka leo kuwa siasa za Tanzania ni mchezo wa kuigiza.
 
Nadhani ni mawazo yako tuu!
Personally siyaafiki ata kwa 20%
Sikulazimishi uafiki maana hata mimi nilikuwa najaribu kufikiria tuu, ndiyo maana nimetumia neno "itakuwa vipi iwapo.................."
 
Nawashangaa wanaoshindwa kuelewa mpaka leo kuwa siasa za Tanzania ni mchezo wa kuigiza.

Na hayo maigizo ndiyo hatuyataki kuyaona yakiendelea kama Msanii JK anavyo igiza na suala la katiba mpya.
Anasema kwamba huo mchakato ni sawa na waliofanya marais waliomtangulia akina Alhaji Mwinyi, Mkapa!
Hapa ndiyo napata wasiwasi na uwezo wa kufikiri au IQ ya JK. Hivi Mwinyi na Mkapa waliwahi kuandika
katiba mpya? Kwanini JK analinganisha madafu na maembe?
 
Kama hajawaiga wote hao basi alimuiga Nyerere.
 
Kuna mtu amewahi kujifikiria kwamba CCM inaweza kufanya fitna au ikaamua kuwekeza mabilioni ili kuwabadirisha wapambanaji wa upinzani wa sasa na wakawa kama wapinzani walioshindwa miaka ya nyuma na kujisalimisha CCM kutokana na kuwa na roho za kibinafsi?

Sote wenye imani safi tunatakiwa tuwaombee kwa Mungu wapambanaji wa Upinzani ili kuinusuru nchi yetu kutoka mikono ya Makatiri wa CCM. Kwa mtu yeyote muelewa lazima akubali Upinzani wa kisiasa uliopo nchini una mchango mkubwa katika utekelezaji wa majukumu ya serikali, Kutokana na upinzani leo hii Serikalini kabla mtu hajafanya ufisadi au uharibifu wowote lazima afikirie mara mbilimbili. Najaribu kufikiria yafuatayo

1. Itakuwa vipi siku moja Dr Slaa abadilike awe kama Augustino Lyatonga Mrema wa leo?

2. Itakuwa vipi siku moja Tundu Lisu abadilike awe kama Masumbuko Lamwai wa leo?

3. Itakuwa vipi siku moja Freeman Mbowe abadilike awe kama Stephen Wasira wa leo?

4. Itakuwa vipi siku moja Zito Kabwe abadilike awe kama Tambwe Hiza wa leo?

5. Itakuwa vipi siku moja mtu kama David Kafulila abadilike awe kama Dr. Amani Walid Kaborou wa leo?

Tuwaombee na tuwape ushirikiano Wapinzani nchi ipo kwenye mikono hatari sana kwasasa.

Amen!

Mungu apishe mbali. Tuombe sana shetani huyo ashindwe na alegee kwa Jina la Yesu. nami huwa sikosi kuwaombea hao wote uliowataja katika sala zangu. Itakuwa disaster kubwa hayo yakitokea
 
Kuna mtu amewahi kujifikiria kwamba CCM inaweza kufanya fitna au ikaamua kuwekeza mabilioni ili kuwabadirisha wapambanaji wa upinzani wa sasa na wakawa kama wapinzani walioshindwa miaka ya nyuma na kujisalimisha CCM kutokana na kuwa na roho za kibinafsi?

Sote wenye imani safi tunatakiwa tuwaombee kwa Mungu wapambanaji wa Upinzani ili kuinusuru nchi yetu kutoka mikono ya Makatiri wa CCM. Kwa mtu yeyote muelewa lazima akubali Upinzani wa kisiasa uliopo nchini una mchango mkubwa katika utekelezaji wa majukumu ya serikali, Kutokana na upinzani leo hii Serikalini kabla mtu hajafanya ufisadi au uharibifu wowote lazima afikirie mara mbilimbili. Najaribu kufikiria yafuatayo

1. Itakuwa vipi siku moja Dr Slaa abadilike awe kama Augustino Lyatonga Mrema wa leo?

2. Itakuwa vipi siku moja Tundu Lisu abadilike awe kama Masumbuko Lamwai wa leo?

3. Itakuwa vipi siku moja Freeman Mbowe abadilike awe kama Stephen Wasira wa leo?

4. Itakuwa vipi siku moja Zito Kabwe abadilike awe kama Tambwe Hiza wa leo?

5. Itakuwa vipi siku moja mtu kama David Kafulila abadilike awe kama Dr. Amani Walid Kaborou wa leo?

Tuwaombee na tuwape ushirikiano Wapinzani nchi ipo kwenye mikono hatari sana kwasasa.

Amen!
KWA TAARIFA YAKO - hayo hayawezi kutokea labda waasisi wa chama hiki wawe wamekufa kwa sababu kama ni tamaa ya pochi tuu CCM hawana pesa kama mtei, ndesa,mbowe, na wengine ambao sitaki kuwataja kwa hiyo makamanda hawanunuliki take it from me period
 
Thanks
 
Kuna mtu amewahi kujifikiria kwamba CCM inaweza kufanya fitna au ikaamua kuwekeza mabilioni ili kuwabadirisha wapambanaji wa upinzani wa sasa na wakawa kama wapinzani walioshindwa miaka ya nyuma na kujisalimisha CCM kutokana na kuwa na roho za kibinafsi?

Sote wenye imani safi tunatakiwa tuwaombee kwa Mungu wapambanaji wa Upinzani ili kuinusuru nchi yetu kutoka mikono ya Makatiri wa CCM. Kwa mtu yeyote muelewa lazima akubali Upinzani wa kisiasa uliopo nchini una mchango mkubwa katika utekelezaji wa majukumu ya serikali, Kutokana na upinzani leo hii Serikalini kabla mtu hajafanya ufisadi au uharibifu wowote lazima afikirie mara mbilimbili. Najaribu kufikiria yafuatayo

1. Itakuwa vipi siku moja Dr Slaa abadilike awe kama Augustino Lyatonga Mrema wa leo?

2. Itakuwa vipi siku moja Tundu Lisu abadilike awe kama Masumbuko Lamwai wa leo?

3. Itakuwa vipi siku moja Freeman Mbowe abadilike awe kama Stephen Wasira wa leo?

4. Itakuwa vipi siku moja Zito Kabwe abadilike awe kama Tambwe Hiza wa leo?

5. Itakuwa vipi siku moja mtu kama David Kafulila abadilike awe kama Dr. Amani Walid Kaborou wa leo?

Tuwaombee na tuwape ushirikiano Wapinzani nchi ipo kwenye mikono hatari sana kwasasa.

Amen!

Majibu yote mbona unayo kwenye maswali yako? Ngoja nikuonyeshe majibu kama hajaona

1. Itakuwa vipi siku moja Dr Slaa abadilike awe kama Augustino Lyatonga Mrema wa leo? (Walimnunua Augustino Lyatonga Mrema wakafikiri kazi imeisha lakini akajitokeza Dr Slaa)

2. Itakuwa vipi siku moja Tundu Lisu abadilike awe kama Masumbuko Lamwai wa leo? (Walimnunua Masumbuko Lamwai wakafikiri kazi imeisha lakini akajitokeza Tundu Lisu)

3. Itakuwa vipi siku moja Freeman Mbowe abadilike awe kama Stephen Wasira wa leo? (Walimnunua Stephen Wasira wakafikiri kazi imeisha lakini akajitokeza Freeman Mbowe) LAKINI HATA HIVYO HAPA HAKUNA UWIANO.

4. Itakuwa vipi siku moja Zito Kabwe abadilike awe kama Tambwe Hiza wa leo? (Walimnunua Tambwe Hiza wakafikiri kazi imeisha lakini akajitokeza Zito Kabwe)

5. Itakuwa vipi siku moja mtu kama David Kafulila abadilike awe kama Dr. Amani Walid Kaborou wa leo? (Walimnunua Dr Amani Walid Kaborouwakafikiri kazi imeisha lakini akajitokeza David Kafulila)

Huo mtiririko huu unaonyesha kuwa mambo ni aluta continue. Hivyo husiwe na hofu. Wapiganaji watajitokeza tu mbele ya safari. Tena watakuwa moto zaidi.

Kama hajawaiga wote hao basi alimuiga Nyerere.

Wakati wa Nyerere sisi hatukuwepo. Hivyo mtindo huo umepitwa na wakati. Old fashion. Na huo utaratibu wa Nyerere ndio sababu kubwa ya sisi kutoka katiba mpya, ambao tuandika sisi wenyewe kama watanzania kwa ujumla wetu.

Tunataka sisi tuwe na utaratibu wetu wenyewe (new fashion). Uwezo wa kutengeza utaratibu wetu tunao.

Watapigwa mawe na umma maana watakuwa wametupotezea muda wetu. Na pia enzi zile za akina lamwai vijana hawakuwa wameamka kiasi cha kuwaadhibu wanafiki kama lamwai, Hiza, kabooru, Wasira, na wengineo. Ebu wajaribu waone, hakuna arngi wataacha kuuona
 
Ni kweli ya 70 na saba waliunda wachache
Wakati wa Nyerere sisi hatukuwepo. Hivyo mtindo huo umepitwa na wakati. Old fashion. Na huo utaratibu wa Nyerere ndio sababu kubwa ya sisi kutoka katiba mpya, ambao tuandika sisi wenyewe kama watanzania kwa ujumla wetu.

Tunataka sisi tuwe na utaratibu wetu wenyewe (new fashion). Uwezo wa kutengeza utaratibu wetu tunao.

1. Lamwai is after Money
2. Tundu Lissu is after rights
Kuna wakati wananchi wa kigoma walikuwa wanadhana sawa na wewe juu ya mhe walid kaburu. Wanasiasa wanaingia kwenye siasa ili wanufaike wanapoona njia ya mafanikio kupitia vyama vya upinzani ni ndefu wanaamua kutumia short cut, huko wapo wanaofanikiwa kama kina Lamwai, Abbas Mtemvu na Wassira na wapo wengine wanapotea unakuwa huwasikii kama Mhe Walid Kaburu.

Naamini kama mtu anahaja ya kuwasaidia (kuwa after right) hana haja ya kujiingiza kwenye siasa angejikita zaidi
[h=3]Legal And Human Rights Center Huko angetumia muda wake mwingi kwenye kutatua matatizo ya wananchi yanayowakabili kila uchao kuliko kuwa kwenye siasa kila siku kwenye mikutano ya hadhara na maandamano.[/h]
Huo ni mtazamo wangu tu nikiamini kila mmoja ana uhuru wa kusema kile anachokiona bila kuvunja sheria za nchi na jf.
 
Wakati wa Nyerere sisi hatukuwepo. Hivyo mtindo huo umepitwa na wakati. Old fashion. Na huo utaratibu wa Nyerere ndio sababu kubwa ya sisi kutoka katiba mpya, ambao tuandika sisi wenyewe kama watanzania kwa ujumla wetu.

Tunataka sisi tuwe na utaratibu wetu wenyewe (new fashion). Uwezo wa kutengeza utaratibu wetu tunao.

Kwahiyo hata sisi tunaotaka mabadiliko na chadema kwa wingi wao wanaposema wanamuenzi Mwalimu wanakuwa na kaunafiki fulani kwa ajili ya maslahi yetu?
 
Back
Top Bottom