Ya Lamwai yaweza kumkuta Tundu Lissu! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Ya Lamwai yaweza kumkuta Tundu Lissu!

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Mvaa Tai, Dec 1, 2011.

 1. Mvaa Tai

  Mvaa Tai JF-Expert Member

  #1
  Dec 1, 2011
  Joined: Aug 11, 2009
  Messages: 6,174
  Likes Received: 2,175
  Trophy Points: 280
  Kuna mtu amewahi kujifikiria kwamba CCM inaweza kufanya fitna au ikaamua kuwekeza mabilioni ili kuwabadirisha wapambanaji wa upinzani wa sasa na wakawa kama wapinzani walioshindwa miaka ya nyuma na kujisalimisha CCM kutokana na kuwa na roho za kibinafsi?

  Sote wenye imani safi tunatakiwa tuwaombee kwa Mungu wapambanaji wa Upinzani ili kuinusuru nchi yetu kutoka mikono ya Makatiri wa CCM. Kwa mtu yeyote muelewa lazima akubali Upinzani wa kisiasa uliopo nchini una mchango mkubwa katika utekelezaji wa majukumu ya serikali, Kutokana na upinzani leo hii Serikalini kabla mtu hajafanya ufisadi au uharibifu wowote lazima afikirie mara mbilimbili. Najaribu kufikiria yafuatayo

  1. Itakuwa vipi siku moja Dr Slaa abadilike awe kama Augustino Lyatonga Mrema wa leo?

  2. Itakuwa vipi siku moja Tundu Lisu abadilike awe kama Masumbuko Lamwai wa leo?

  3. Itakuwa vipi siku moja Freeman Mbowe abadilike awe kama Stephen Wasira wa leo?

  4. Itakuwa vipi siku moja Zito Kabwe abadilike awe kama Tambwe Hiza wa leo?

  5. Itakuwa vipi siku moja mtu kama David Kafulila abadilike awe kama Dr. Amani Walid Kaborou wa leo?

  Tuwaombee na tuwape ushirikiano Wapinzani nchi ipo kwenye mikono hatari sana kwasasa.

  Amen!
   
 2. Mungi

  Mungi JF Gold Member

  #2
  Dec 1, 2011
  Joined: Sep 23, 2010
  Messages: 16,985
  Likes Received: 441
  Trophy Points: 180
  1. Lamwai is after Money
  2. Tundu Lissu is after rights
   
 3. VUTA-NKUVUTE

  VUTA-NKUVUTE JF-Expert Member

  #3
  Dec 1, 2011
  Joined: Nov 25, 2010
  Messages: 5,868
  Likes Received: 6,566
  Trophy Points: 280
  Hayamkuti ng'o...
   
 4. Mungi

  Mungi JF Gold Member

  #4
  Dec 1, 2011
  Joined: Sep 23, 2010
  Messages: 16,985
  Likes Received: 441
  Trophy Points: 180
  Mkuu hii Signature yako inaweza kufanya Lowassa akaingia Msituni!

  "Rais ajaye hatatoka Kaskazini, na hatma ya Rais ajaye ipo mikononi mwa Rais Kikwete"
   
 5. Waberoya

  Waberoya Platinum Member

  #5
  Dec 1, 2011
  Joined: Aug 3, 2008
  Messages: 11,564
  Likes Received: 3,861
  Trophy Points: 280
  yaani unamfananisha zito na tambwe hiza?? umekosea...
   
 6. Crucifix

  Crucifix JF-Expert Member

  #6
  Dec 1, 2011
  Joined: Feb 20, 2011
  Messages: 1,618
  Likes Received: 25
  Trophy Points: 135
  Masumbuko Lamwai alikuwa katika chama legelege (NCCR) chini ya kiongozi legelege (Mrema)
   
 7. Memo

  Memo JF-Expert Member

  #7
  Dec 1, 2011
  Joined: Jan 17, 2011
  Messages: 2,147
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 135
  Aseeee!!
  Duh!!
   
 8. Mvaa Tai

  Mvaa Tai JF-Expert Member

  #8
  Dec 1, 2011
  Joined: Aug 11, 2009
  Messages: 6,174
  Likes Received: 2,175
  Trophy Points: 280
  Mkuu haya siyo maneno yangu ni ya kitoto cha mkubwa fulani na rafikizake sitaki kukitaja maana kina nguvu za ajabu nisije uawa miye ni muache peke yake mke wangu mpenzi
   
 9. Sordo

  Sordo JF-Expert Member

  #9
  Dec 1, 2011
  Joined: Nov 14, 2011
  Messages: 397
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Nimeipenda hii!
   
 10. Mvaa Tai

  Mvaa Tai JF-Expert Member

  #10
  Dec 1, 2011
  Joined: Aug 11, 2009
  Messages: 6,174
  Likes Received: 2,175
  Trophy Points: 280
  Nimekosea wapi kaka??? mimi nawafanisha hawa na ni kweli wanafanana sana maana wote ni wanaume hawa.
   
 11. T

  Tanzaniaist Senior Member

  #11
  Dec 1, 2011
  Joined: Nov 29, 2011
  Messages: 162
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Hauwezi kumfananisha Tundu Lissu na Dk.Masumbuko Lamwai...,Dk.Lamwai ni mtoto mdogo kwa Tundu Lissu

  Hauwezi Kumfananisha Agustine Lyatonga Mrema na Dk.Wilbroad Slaa...Dk.Slaa ni Mwerevu,Mpambanaji na Hawezi kufulia kama Mrema

  Hauwezi Kumfananisha Stephen Wasira Na Mbowe Hata kidogo...Mbowe ana msimambo zaidi ya Wasira hadanganyiki na Vijisenti

  ILA unaweza KUMFANANISHA ZITTO KABWE na TAMBWE HIZZA....,
   
 12. Mvaa Tai

  Mvaa Tai JF-Expert Member

  #12
  Dec 1, 2011
  Joined: Aug 11, 2009
  Messages: 6,174
  Likes Received: 2,175
  Trophy Points: 280
  Mkuu hapo kwenye red umenidanganya hawa wote wawili nawafahamu ki-umri Lamwai siyo mdogo kwa Lisu
   
 13. Mvaa Tai

  Mvaa Tai JF-Expert Member

  #13
  Dec 1, 2011
  Joined: Aug 11, 2009
  Messages: 6,174
  Likes Received: 2,175
  Trophy Points: 280
  Hakuna lilisilo wezekana chini ya jua ndugu yangu, binafsi sikuwahi kufikiria kwamba siku moja mtu kama JK anaweza kuwa Rais wa nchi, lakini kutokana na Tume ya Taifa ya uchaguzi ku-play part yake hilo limewezekana.
   
 14. Godlisten Masawe

  Godlisten Masawe Verified User

  #14
  Dec 1, 2011
  Joined: Jul 20, 2011
  Messages: 739
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Tafadhali husiwadhalilishe viongozi wetu.
   
 15. F

  FMuhomi Member

  #15
  Dec 1, 2011
  Joined: Oct 16, 2011
  Messages: 61
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 15
  ZITTO KABWE na TAMBWE HIZZA naweza kuwafananisha kwa herufi za majina yao kuweza kuingiliana.

  KABWE na TAMBWE

  ZITTO NA HIZZA - TT NA ZZ, I NA I.
   
 16. Godlisten Masawe

  Godlisten Masawe Verified User

  #16
  Dec 1, 2011
  Joined: Jul 20, 2011
  Messages: 739
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Please hata kama una chuki na MH Zito, husimdhalilishe kwa namna hiyo kaka.
   
 17. Mvaa Tai

  Mvaa Tai JF-Expert Member

  #17
  Dec 1, 2011
  Joined: Aug 11, 2009
  Messages: 6,174
  Likes Received: 2,175
  Trophy Points: 280
  Mkuu nilikuwa najaribu kufikiria tuu.
   
 18. TOWNSEND

  TOWNSEND JF-Expert Member

  #18
  Dec 1, 2011
  Joined: May 8, 2011
  Messages: 2,597
  Likes Received: 48
  Trophy Points: 145
  aaa unaweza ikawa mmoja ni mwanamume suruali
   
 19. Mvaa Tai

  Mvaa Tai JF-Expert Member

  #19
  Dec 1, 2011
  Joined: Aug 11, 2009
  Messages: 6,174
  Likes Received: 2,175
  Trophy Points: 280
  Umefikiri ki-great thinker zaidi
   
 20. Njowepo

  Njowepo JF-Expert Member

  #20
  Dec 1, 2011
  Joined: Feb 26, 2008
  Messages: 9,297
  Likes Received: 381
  Trophy Points: 180
  Nadhani ni mawazo yako tuu!
  Personally siyaafiki ata kwa 20%
   
Loading...