Ya kuhuzunisha pia tunao waTanzania wanaoishi Finland wakiwemo JF Members

Mhhhhh! hii dunia yetu inatisha...I hope hakuna mbongo aliyenanihii na huyu muuaji.
 
Kuna vidume kweli vina moyo wa Simba..akh..Yaani vinakula hata kuku wa dawa? Hata huo uchu uchu gani? eeh?

Kaaz kwelikweli.
 
...si amekurupushwa tu jamani, baadhi ya wanawake wakiondoa "make-up" zao sijui angel face, mascara, lipstick nk utashangaa what is behind the 'mask!'

Mkuu Mbu umenifurahisha na kunikumbusha mbali. Kuna mama mmoja mtaalam wa kujikandika make ups hizo ulizotaja hapa juu na kama zikipungua akiwa ndani ya ofisi ana dressing table kabisa (ni boss) huwa anakandika tena. Yaani yeye anatumia zile original za majina kabisa, that is high class na ukimwona utafikiri she is a chick na kauso kale ka rangi murua. Sasa kasheshe ikawa kuwa alifiwa na mume wake. Tulipoenda kwenye msiba alivaa full time sun glasses na hakuna aliyemtambua. Ilitia aibu maana hata ukimpa mkono alikuwa anatizama chini kabisa. Sasa basi ngozi ya uso ilikuwa imelika sana kama kizee cha miaka 70.

Poleni sana kwa wale ambao mnawapa wake zenu na mabinti uhuru ati wa kupendeza artificial!!! Natural is the best, artificial is expensive!!!
 
...si amekurupushwa tu jamani, baadhi ya wanawake wakiondoa "make-up" zao sijui angel face, mascara, lipstick nk utashangaa what is behind the 'mask!'

ongeza foundation, eye liner nk..Usishangae pochi kubwa maana baadhi yetu hayo mapochi yamegeuka 'dressing table' mana full vitu vya kujikwatua!..

Huyo mdada sijui nini kilimfanya aambukize huo ugonjwa..Hata kama kuna mtu alilala nae na kinga lazima roho juu!!..Hatari sana!!
 
Hao waliolala na huyu manzi wanahitajika wapimwe akili! Unalalaje na jitu la hivi mvuto ziro? Hata nilewe vipi sijafungua zipu hapo? Mtu anayeweza kulala na huyu anaweza akalala hata na beberu la fisi!

Jamani tuweni makini. Huyu anatoa ujumbe kwa kina kaka wawe makini na waaminifu kwa wake (waliooa) zao na wapenzi (wenye stable relationships) na wasioonao- kuabstine or kucheza salama.

...si amekurupushwa tu jamani, baadhi ya wanawake wakiondoa "make-up" zao sijui angel face, mascara, lipstick nk utashangaa what is behind the 'mask!'
nyie wote mmesahau watu hawaangalii reception hiyo kama huyo ana mgongo na shepu la kufa mtu kaua wengi,hiyo sura naona mwake tu sema mapowda kazidisha,lakini mtu ukutane nae mitaa ya club night kali na kafungasha zigo nyuma kigurunyembe mitaa ya tampere na baridi hilo utamuacha?thubutuu ukizingatia huku ngoma hizi black unakula kama embe la mdondo mara mojamoja.
 
suala kama hili liliwahi kujitokeza katika City ya gothenburg sweden, dada mmoja mchezaji wa twiga star maarufu kama Lunyamila naye aliandikwa magazetini kwamba ameambukiza wanaume wengi HIV. Wanaojua huyu dada alipo watueleze
 
Achana na mambo ya ulaya, Hapa bongo kuna mama ana zaidi ya 45yrs out of that 20 yrs as +ve na ana wapenzi wanne. Mbaya ana mchungaji mmoja na wanazuoni wa MUHAS mwaka wa pili; hawa ni kwa ajili ya starehe. Wawili wengine ni kwa ajili ya kazi. Anaishi maeneo ya njia panda ulaya. NI mama mzuri usisikie at 45 looks like 25.
 
finland1.jpg


Mtu anakulaje mtu mwenye reception kama hii? da! Jicho ka mwizi?


kunywaa sheriiiiiiiiii uone

utashtuka asbh huku akila zake chapaa na kucheka
 
ngoja niwachekesheni kidogo kipindi nikiwa kenya narusha ndege
tulilala sehemu huko mashenzini...tukiwa nyt sto[ tulikuwa na mazoe ya kwenda sehemu
kupata nyama na pombee..baadae wanaondoka na looseball yaani bar bed
ikawa ndo kamchezo sasa siku moja uo mzigo ukajiwa na watu kama 4 na wote wanataka
kuruka nao,..ikabidi synorite ifwate mkondo wake ikaja kati ya 4 marubani 2 yaani mkuu na msaidizi wake...duh ikabidi first offiser awe mpole Capt achukue ngoma akaikokota usiku wee mzee alikuwa chakali chakali...ilipofika asbh mzee akachelewa kuamka huku muda wa dep unakaribia akamshtua mazee wake fasta twende,..mwanamke akaamka akiwa anaenda kuoga akamwona nyuma amekula mabaka mabaka kama mamba kuangalia uswazi mzee akawa hoi
alipofika reception akaishia kusema"""KAMA AMENIUA MI NAMWACHIA MUNGU""
"""KAMA AMENIUA BASI""hiyo ni asubuhi....nenda uganda ukaulize yule dk kaenda na wangapi watu wamama wenye akili zao wake za watu kazi azifanyiki huko uganda we!!ukipona shukuru ukipata mwachie MUNGU

Ndugu Ogopa TBL na mahasimu wake ......usiku mwema
 
Back
Top Bottom