Ya kikwete kama ya mugabe?

TUKUTUKU

JF-Expert Member
Sep 14, 2010
11,765
4,033
yALIYOTOKEA zIMBABWE KWA rOBERT mUGABE NA ZANU-PF,ni kama yale yanayotokea Tanzania kwa Jakaya Kikwete na CCM:juhudi za kubaki madarakani "Kwa gharama yoyote ile"Jeshi halina sababu wala uwezo wa kujitumbukiza katika siasa bila kuombwa,kushawishiwa au kuamriwa na watawala ambao wametokana na mchakato wa kisiasa.(source:MwanaHalisi"Ya Kikwete kama ya Mugabe",Octoba 6-12,2010,pp.3)
Wana JF ambao tunapenda kuona mageuzi still we have a long way to go!
 
Back
Top Bottom