Ya Kalenga: Ombi kwako Inspekta Jenerali wa Polisi (IGP) Ernest Mangu

Kalenga kitaumana ccm mkae mkao wa adabu tumewavumilia sasa tumechoka
 
Ni wahuni na vibaka wanapaswa kushughulikiwa na vyombo vya ulinzi na usalama
muhuni ni wewe na kizazi chenu chenye akili zilizoganda! usitukane wapenda maendeleo kwa kupenda kushiba kama chatu na kulala bungeni ukiwaacha watanzania wakipata shida utafikiri tuko nchi isiyo na chochote!
 
Ni wahuni tu
 
Ni wahuni tu
Laiti ungejua kuwa nawe umekalia kuti kavu wala usingesema uupuzi hapa.....we ni punda tu wa kuwafanya wengine washibe ingawa kwa kufanya hivyo nawe unambulia makombo yanayokufanya ujione upo tofauti nasi ila tambua siku kikinuka wakuu wenye DUAL citizenship ambao ndo wanaokutuma utuletee upumbavu huu usioingilika kichwani kwa ujira Buku 7 hawatakuwepo hapa for you ....nyambafu sana!
cc; ifweero, MSALANI, Crashwise, Molemo, Mzeemwanakijiji, Kongosho, OLESAIDIMU, hammyd, Lizaboni,
 
Back
Top Bottom