Ya Kagasheki na Nundu tunaelekea wapi?

calmdowndear

JF-Expert Member
Jul 12, 2011
605
271
Katika mwaka huu tumepoteza wachapakazi wawili hawa kwa sababu hawakutaka ku tow the line

Natumai walioandaa anguko la Omari Nundu na Khamis Kagasheki hawatofanikiwa kwenye jaribio la kumwondoa Sospeter Muhongo.

Maana ningesema Mwakyembe na Magufuli lakini hao wote wawili tumegundua ni wazugaji

sasa kwa style hii kweli kuna mtu atakuwa na imani utumishi wa umma?

Tulikotoka...

https://www.jamiiforums.com/jukwaa-la-siasa/255287-omari-nundu-sioni-sababu-ya-kujiuzulu.html

Hivi tunaelekea wapi kama taifa?
 
Kagasheki tafadhali rudi kazini uwalipe waliofanya kazi ya kupambana na majangili katika OPERATION TOKOMEZA. Toka ujiuzulu Mzee hawatuoni kabisa kama nasi ni watu tunaostahili pongezi kwa kazi tuliyoifanya. Tafadhali chondechonde rudi uwalipe MAKAMANDA
 
umechanganyikiwa!!!
 
Unaambiwa wazungu wamegomea hela zao , sasa huyo kagasheki atatoa mfukoni mwake ?
 
Hela za wazungu zilishafika na ndo maana Mh. Lembeli alisema na watumishi wa KINAPA mwaka juzi mwezi wa kumi na mbili kua pesa ilishatengwa hivyo kama hamjalipwa ni kosa coz pesa zilikua tayari zipo. i wonder why they did pay those guys hyo pesa imepitishwa wapi?? Njoo KHAGASHEKI utupe hela yetu ujiuzulu kwa amani japo wamekuonea
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom