Ya JATU Limited yasije yakawa ya Mr. Kuku

DIKASHWA

JF-Expert Member
Aug 2, 2016
376
953
Jatu LIMITED COMPANY ni kampuni ya umma inayowaunganisha wakulima na kuwawezesha kulima kisasa na baada ya mavuno kampuni hununua mavuno yote na kuandaa bidhaa ambazo huuzwa kwa mawakala na wanachama wa JATU kwa mfumo maalumu unaomhakikishia mteja gawio la faida kila mwezi.

Pia ni kampuni inayowawezesha wakulima kupata mikopo isiyokua na riba kwa ajili ya kilimo. Kampuni hii inamiliki viwanda vya uzalishaji bidhaa mbalimbali za chakula kama vile mchele, unga wa mahindi na mafuta ya kupikia.

Kampuni inasimamia mashamba makubwa ya wanachama ambayo yanalimwa mazao mbalimbali kama vile mahindi, maharage, mpunga, matunda na alizeti katika mikoa ya Manyara, Morogoro.

Sina shida na uhalali wa hii kampuni ila kuna vitu najiuliza:

1. Je, wana system ya umwagiliaji endapo mvua isiponyesha na pakawepo na ukame mazao yakafa watawezaje kuwacompasate wakulima ambao ni wanachama wao ambao wamewekeza pesa zao?
Au mvua zikazidi mfano kama kilimo cha maharage mvua ikiwa nyingi sana huwa yanaharibika hapo inakuwaje?

2. Issue ya mauzo, kubadilika bei hasa za mpunga na mahindi kila msimu lets say mazao yamestawi vizuri nchi nzima na bei ikashuka je wanacompasate vipi wanachama wao?

3. Je wana bima endapo haya majanga ya asili na ya kiuchimi yakitokea mitaji ya wanachama wao itakuwa salama au ndo tutaanza kupelekana mahakamani kama Mr. Kuku.
 
"Kampuni hii inamiliki viwanda vya uzalishaji bidhaa mbalimbali za chakula kama vile mchele, unga wa mahindi na mafuta ya kupikia."

Ulishakutana mtaani na Unga, Mchele au mafuta chapa JATU?
 
Jatu LIMITED COMPANY ni kampuni ya umma inayowaunganisha wakulima na kuwawezesha kulima kisasa na baada ya mavuno kampuni hununua mavuno yote na kuandaa bidhaa ambazo huuzwa kwa mawakala na wanachama wa JATU kwa mfumo maalumu unaomhakikishia mteja gawio la faida kila mwezi.

Pia ni kampuni inayowawezesha wakulima kupata mikopo isiyokua na riba kwa ajili ya kilimo. Kampuni hii inamiliki viwanda vya uzalishaji bidhaa mbalimbali za chakula kama vile mchele, unga wa mahindi na mafuta ya kupikia.

Kampuni inasimamia mashamba makubwa ya wanachama ambayo yanalimwa mazao mbalimbali kama vile mahindi, maharage, mpunga, matunda na alizeti katika mikoa ya Manyara, Morogoro

Sina shida na uhalali wa hii kampuni ila kuna vitu najiuliza
1. Je wana system ya umwagiliaji endapo mvua isiponyesha na pakawepo na ukame mazao yakafa watawezaje kuwacompasate wakulima ambao ni wanachama wao ambao wamewekeza pesa zao?
Au mvua zikazidi mfano kama kilimo cha maharage mvua ikiwa nyingi sana huwa yanaharibika hapo inakuwaje?

2. Issue ya mauzo, kubadilika bei hasa za mpunga na mahindi kila msimu lets say mazao yamestawi vizuri nchi nzima na bei ikashuka je wanacompasate vipi wanachama wao?

3.Je wana bima endapo haya majanga ya asili na ya kiuchimi yakitokea mitaji ya wanachama wao itakuwa salama au ndo tutaanza kupelekana mahakamani kama mr.kuku.
Any business related to Kilimo,ufugaji,etc brother piga chini!

It is a big lie!
 
Sasa si ukawaulize,usitumbue sisi bwege we!
 
Back
Top Bottom