Ya jamii forum na Maxence Melo,Masoud Kipanya Atapona kweli?

Chinga One

JF-Expert Member
May 7, 2013
11,439
12,294
Mwenyewe Kipanya amesha anza kuwa na mashaka mashaka.....
1482139555208.png
 
akiandika ya kumsifia mwenye nchi atapona.......ila akiandika tofauti basi nae yatamkuta.
 
Keani masoud huwa anataja mtu? Mara nyingi anaandikaga majina kwa kwa kukosea ( ofcours anafanya makusudi) mfano sirikali au mbu-ng'e tec.... nadhani ndo salama yake. Akishikwa atasema kwani nimemtaja mtu hapo au hiyo picha ni wewe hapo?
 
Vigumu kumshtaki Masoud sababu ni kazi ya sanaa, picha na ujumbe pia unakuwa wa kisanii sanii.
 
Back
Top Bottom