Mke wa Dr. Mwaka anadai Talaka 3. Sasa yale mafundisho yake ya ndoa tufuate au tumteme?

Arovera

JF-Expert Member
Nov 19, 2013
10,945
28,399
Wakuu

Huko Millard Ayo karipoti kuwa jamaa mke wake wa South Africa anadai talaka na toka mwaka jana hawako pamoja, sasa yule alitufanya wanaume tuonekane hatuna mapenzi na wake zetu kumbe nae ndani kuna waka moto.

Haya mambo tuulizane yale nafundisho yake tuyafuate au tumteme maana hata yeye kusomesha watoto kashindwa eti kisa arudiane na mke ndio atasomesha kumbe nae mwaka akili kisoda.

Wanaume tunasema hatutaki tena mafundisho yake uchwara ya ndoa, maana kwake hayajafanya kazi kwetu itakuaje si atafanya na ndoa zetu zivunjike.

IMG_1167.jpg
 
Wakuu

Huko millard ayo karipoti kua jamaa mke wake wa south anadai talaka na toka mwaka jana hawako pamoja, sasa yule alitufanya wanaume tuonekane hatuna mapenzi na wake zetu kumbe nae ndani kuna waka moto.

Haya mambo tuulizane yale nafundisho yake tuyafuate au tumteme maana hata yeye kusomesha watoto kashindwa eti kisa arudiane na mke ndio atasomesha kumbe nae mwaka akili kisoda.

Wanaume tunasema hatutaki tena mafundisho yake uchwara ya ndoa, maana kwake hayajafanya kazi kwetu itakuaje si atafanya na ndoa zetu zivunjike.

View attachment 2493377
Fuata mahubiri sio matendo ya mtumishi
 
Dr Mwaka hivi ndo huyu anayeshughulika na kutibu magonjwa ya nguvu za kiume na maswala ya uzazi?

Isije ikawa chanzo cha Talaka bwana dokta hapigi show vizuri

Huku mtaani wauza supu ya pweza wote wamekimbiwa na wake zao, ye nani?
 
Back
Top Bottom