Ya CDM Matamu sana

Hassan J. Mosoka

JF-Expert Member
Oct 26, 2010
682
323
Kweli hii inanishangaza sana, Kila hatua wanayochukua CDM au kiongozi ndani ya CDM ni mjadala kila mahali, wakati mwingine habari itapotoshwa na kuwekewa vikorombwezo kibao. Lakini kitendo cha Madiwani waliochaguliwa kwa kura halali na wananchi kujiuzuru hakuna anayekizungumzia watu wako kimya na wanaona ccm ni shwari na hakuna matatizo.
Kitendo kile kilichotokea Rorya nilitegemea watu kama Mwanakijiji watakichambua manake yule mbunge alisema Ochele hawezi kufutwa jina lake because he gave his money to ccm and he must become the chairman of the council matokeo ya hio kauli ni mmoja wa wagombea walipitishwa na kamati kuu ya ccm mkoa kujiuzuru sio tu kugombea uenyekiti bali na hata udiwani wenyewe.
Hii ni hatari inaashiria kuwa fedha inaongea na inatuma ujumbe mzito kwa waio nazo. Badala ya kujadili jambo kama hili watu humu wamebaki ni Zitto, Mbowe mara Slaa upuuzi mtupu.
 
Unadhani vibaraka wa ccm wataongelea Hilo mkuu.....wanajifanya hawajasikia tu
 
kwa rushwa za CCM ingekua china wanachama wote wa ccm wangekua wameshanyongwa!
 
Back
Top Bottom