Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 125,690
- 239,252
Zipo taarifa kwamba huyu ni miongoni mwa wasimamizi wa uchaguzi ule uliopingwa na kila mtu duniani ( sijui aliwakilisha taasisi gani ) .
Haya ni masihara makubwa sana kuwahi kufanyika ndani ya nchi hii , Ali Karume amekwisha nukuliwa na vyombo vya habari vya nchi hii akitaka uchaguzi wa Rais ushirikishe ccm pekee na hivi vyama vingine vibaki kugombea udiwani , uwakilishi na ubunge , hivi mtu kama huyu anapata wapi ujasiri wa kuwa msimamizi ?
hakika madaraka yanalewesha sana !
uchaguzi wa marudio ni kweli haukubaliki lakini kuongeza wasimamizi kama hawa akina Ali Karume ni kuuharamisha zaidi .