Xxx smartest man | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Xxx smartest man

Discussion in 'Jokes/Utani + Udaku/Gossips' started by Good Guy, Nov 1, 2010.

 1. Good Guy

  Good Guy JF-Expert Member

  #1
  Nov 1, 2010
  Joined: Oct 24, 2010
  Messages: 4,511
  Likes Received: 90
  Trophy Points: 145
  Bana jamaa mmoja alienda kwa rafiki yake.alipokua pale kakaa sebuleni akaona straight chumbani mke wa rafiki yake kakaa vibaya,ch*pi iko wazi.Badae alipokua anataka kuondoka mke wa rafiki yake akamfata akamwambia "kama unataka kile ulichokiona kesho njoo saa sita mchana na sh.laki tano."mchiz akafikiri akakubali.Kesho yake asubuhi akaenda kwa huyo rafiki akamkopa laki 5.alafu mchana akaenda kwake wakakutana na yule mke wake akampa hela wakamalizana akaondoka.Jioni wakati rafiki yake yupo na mke wake jamaa akampigia simu rafiki yake akamwambia
  "aise hela yako nimekuletea nimemuachia mke wako."
  mwanamke akawa hana jinsi akarudisha hela.kaliwa kiulaini.
   
 2. boma2000

  boma2000 JF-Expert Member

  #2
  Nov 6, 2010
  Joined: Oct 18, 2009
  Messages: 3,283
  Likes Received: 155
  Trophy Points: 160
  Hapo wate walikuwa waroho, sasa sijui nani alikuwa mroho zaidi na mjanja zaidi
   
Loading...