XXL vs Empire vs The Switch

mnajua nini wadau??
Binafsi yangu show Kali ya Town
Lazima iwe na sifa hii
Kinyume na hapo bhas Hamna kitu.

1.DJs wakali.
 
Aisee xxl bado n kipindi Bora Cha burudani, Tz, achana na hao copy n paste
Ku_copy kawaida tu mbona. Ni kama miundo ya magari, Nissan na Toyota wote wanafanana tu. Hata hao Clouds walikopi kisha wakaboresha.
 
Mbona vyote ni vipindi vya kijinga tu, ubishoo mwingi usio na sababu. Watu wanajilazimisha kuongea broken english ili waonekane black americans wakati wasikilizaji wao ni 100% waswahili, wapuuzi wote.
Cha msingi ni entertainment..je wasikilizaji wanakiwa entertained.Kiingereza au kiswa-englishi na industry ya entertainment vinaenda pamoja
 
Cha msingi ni entertainment..je wasikilizaji wanakiwa entertained.Kiingereza au kiswa-englishi na industry ya entertainment vinaenda pamoja
Si ukweli ule ni utoto na ushamba......utaongeaje Kiingereza kwa mtu asiyeelewa? Fikiria hili, unakwenda kuonana na babu yako kijijini unamsalimia kwa Kiingereza wakati haelewi, inakuja kichwani mwako kweli? Wewe unataka tu kushikishwa ukuta, si bure.
 
Back
Top Bottom