Xxl beach party uspime!

Herbalist Dr MziziMkavu

JF-Expert Member
Feb 3, 2009
42,299
33,082
<table border="0" cellpadding="0" cellspacing="0" width="100%"><tbody><tr><td align="left"><table bgcolor="#dddddd" border="0" cellpadding="0" cellspacing="0" height="23" width="100%"><tbody><tr><td width="10">
</td> <td width="606">
</td> <td align="right" width="139">
</td> <td align="right" width="12">
</td> </tr> </tbody></table></td> </tr> <tr> <td bgcolor="#999999">
pix.gif
</td> </tr> <tr> <td class="shortnews" align="left" bgcolor="#ffffff" valign="top">
Jana jioni, brother & sisters walijumuika katika ufukwe wa Mbalamwezi, jijini Dar es Salaam kujirusha katika tamasha la XXL On 2 the Next Beach Party, lililiondaliwa na kituo cha redio cha Clouds FM kwa ajili ya kutambulisha utolewaji wa tuzo za XXL Teen Awards, zitakazotolewa mwishoni mwa mwezi huu. Wadau waliohudhuria tamasha hilo, waliwapigia kura mastaa mbalimbali kama vile wanasoka, wasanii, waandaaji wa kazi za sanaa, wapiga picha za video na wasanii wengine waliofanya vizuri kwa kipindi cha mwaka 2009/2010, ambapo hapo baadaye kila ‘Category’ atatajwa mshindi mmoja atakayenyakua tuzo za XXL Teen. Kamera ya mtandao wako ilinasa matukio yafutayo:

<!--ThumbBegin--> <!--ThumbEnd-->
Wshikaji waliohudhuria tamasha hilo wakijiachia majini

<!--ThumbBegin--> <!--ThumbEnd-->
Msanii wa THT, Elius Barnabas na Angeris Faber ‘Enji’ wakiwa ‘close’ katika moja ya kona za ufukwe huo.

<!--ThumbBegin--> <!--ThumbEnd-->
...ilikuwa ni kujiachia na kupunga upepo mwanana ufukweni hapo.

<!--ThumbBegin--> <!--ThumbEnd-->
Khaleed Mohamed a.k.a Top In Dar (TID) (kushoto) na Meneja wake, Hamis Dakota wakipiga stori na totoz!


<!--ThumbBegin--> <!--ThumbEnd-->
Wakati kijana Diamond anayetamba kwenye bongo fleva kwa sasa akifanya makamuzi jukwaani, mwanadada huyu alishindwa kuvumilia na kuamua kumvamia jukwaani na ‘kumchum’.

<!--ThumbBegin--> <!--ThumbEnd-->
Wasanii wa muziki wa kizazi kipya wakibadilishana mawazo ufukweni hapo.


</td></tr></tbody></table>
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom