Kasie
Platinum Member
- Dec 29, 2013
- 21,229
- 36,251
Yaani weepeesiii
Unavowaona wanaruka ruka hapo ukumbini na kiwanjani ni hivohivo, na ukiwachukulia poa unafungwa tano bila halafu ana braeak kidogo, unaletewa glass ya maji unywe yeye anaenda jimwagia maji akirudi unaulizwa...... wataka tena nikupakulie au utajipakulia mwenyewe..... shurti ulale ukiwa umeshiba mwanaume .....
Chakula kipo tele usiposhiba na kama kimeisha useme ntaingia tena jikoni kupika.....
Mwanaume anasifiwa kazi, kula ushibee.... hehehehheee looh.
Usiulize hawa ma turbo wanafanya kazi gani ila hakuna hata mmoja ambae ni mama wa nyumbani aka goli kipa.
Haya twende pamoja.... turbo hooyeeeeee ...🤪😅😅😅😄😄😄
Kasie Matata.