XXL aka 4*4*far aka Turbo.... aka Uzito wa Nyoya....

Kasie

Platinum Member
Dec 29, 2013
18,026
2,000
Yaani weepeesiii

Unavowaona wanaruka ruka hapo ukumbini na kiwanjani ni hivohivo, na ukiwachukulia poa unafungwa tano bila halafu ana braeak kidogo, unaletewa glass ya maji unywe yeye anaenda jimwagia maji akirudi unaulizwa...... wataka tena nikupakulie au utajipakulia mwenyewe..... shurti ulale ukiwa umeshiba mwanaume .....

Chakula kipo tele usiposhiba na kama kimeisha useme ntaingia tena jikoni kupika.....

Mwanaume anasifiwa kazi, kula ushibee.... hehehehheee looh.

Usiulize hawa ma turbo wanafanya kazi gani ila hakuna hata mmoja ambae ni mama wa nyumbani aka goli kipa.

Haya twende pamoja.... turbo hooyeeeeee ...🤪😅😅😅😄😄😄


Kasie Matata.
 

Attachments

  • File size
    2.3 MB
    Views
    54

princemikazo

JF-Expert Member
Jan 10, 2019
2,214
2,000
Hahahahaa you missed the thread, wengi sana walikuwa wanauliza nikaweka uzi maana ya Kâ Matata.

Kâ Matata = Kasie Matata = Kasinde Matata.

Itâs my name...í ½í¸

Kasie.
Ooh Mungu anisamehe nilichokua nawaza asee!!.
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom