XP Professional SP2 rejects Licence keys

Smarter

JF-Expert Member
Nov 10, 2008
527
109
Naomba msaada, naistaall OS Win XP Professional SP2, inakataa kukubali its Licence keys, anybody help please.
 
mkuu ungetoa details zaid ingekuwa poa manake kukataa keys inategemea mambo mengi ikiwemo kukosewa kwa keys, au keys zisizo zake na wakati mwingine hata aina ya installation unayofanya mfano: kuna wakati ukiwa unaupgrade/downgrade au ukiwa una repair window keys huwa zinagoma hata kama ni zake mpaka ufanye new installation!
 
ok kama ni wakat una install hii nadhan unafanya repair ok jaribu hz
JD3T2-QH36R-X7W2W-7R3XT-DVRPQ. I hope ztakubal na kukuruhusu na kuendelea ku install. Lakn apo itakuwa haiko genuine umm ukirud hku ntakuelekeza jinsi ya kuactivate n make it genuine. Feed back is much apprichiated!
 

Similar Discussions

0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom