xoxo funny

Ginner

JF-Expert Member
May 8, 2011
1,459
1,832
Moya ni houseboy mweny tabia ya kuiba wine ya boss
wake na ksha anaongeza maj..baada ya boss kugundua
mchezo anaochezewa aliamua kutega mtego wa kufa
m2. Akanunua wine ambayo inabadilika rang
ikiongezewa maj..kama kawa moya bila kujua
akaipeleka pwan na kuongeza maj..boss aliporud akaon
wine imebadilika rangi akamwambia mkewe leo
nimem-bamba mwz wangu. Moya akiwa jikon boss
akaita..MOYAAA..moya akajib YES BOSS..nan kanyw
wine yangu?? ...moya kimya...boss akarudia, nan
kanyw wine yangu?!...moya kimya...boss akamfuata
moya jikon na kumuuliza,we mpuuz,mbna nikikuita
unaitika ila nikikuuliz swal hujib?..moya akajb,unajua
bos ukiwa huku jikon unachockia ni jina tu,vngne
huckii..boss akamwambia,acha uongo mwz we heb
simam pale na mke wangu halaf uniulize ki2 2one km
ctackia...moya akasimam na kuita..BOSS..bos akajb,
YES MOYA...moya akauliza, NAN AMEMPA MIMBA
HOUSGAL??..boss kimya..NAN AMEMPA MIMB
HOUSGAL??..boss akatoka jikon na kusem,MOYA UKO
SAWA KABISA,NI KWEL UKIWA JIKON HUCKII
CHOCHOTE,UNASIKIA JINA TU
 
Back
Top Bottom