Xiaomi redmi 9 za Tigo: Line za mitandao Mingine zinakua na performance sawa kimtandao kama Tigo (Unlocked)?

Usilete hisia.mimi sio muuzaji simu.
Nimeongelea redmi 9 prime niliyotumia binafsi na haina tofauti na mitikenge(MTK) ya tecno na infinix kwa ukimeo!
elewa nilichoandika.
Nimeandika redmi 9 series sio simu zao zote.
Na hata wao wao wenyewe wamekiri mapungufu kwenye redmi 9 prime,9c,9a,note 9,poco m3 kua na matatizo bado unataka kuwabishia wenyewe!?
Matatizo kama yapi mkuu?
 
Matatizo kama yapi mkuu?
Zinakuaga na changamoto za kujizimazima,kustack sana,app kutofanya kazi hadi urestart simu
Yani kero balaa.
Ikiwa mpya utaifurahia sana wepesi wake,kaa nayo kwanzia miezi10,mwaka naa uone itakavyokushangaza!
 
Back
Top Bottom