Xiaomi Mi Box, naweza kuunganisha na app kwa smart card ya king'amuzi cha jirani?

Vipi kuhusu matumizi ya bandle maana kuna mtu aliniambia kwa mwezi itakulazimu uwe na Gb zaidi 16 ili uangalie kila siku

sent from HUAWEI
Bando lazima uwe nalo la kutosha, GB 16 si zinakata ndani ya siku tu kama ukianza ku-streem kuanzia asubuhi hadi jioni. Ndio maana ni muhimu uwe na unlimited data.
 
Bando lazima uwenalo la kutosha, GB 16 si zinakata ndani ya siku tu kama ukianza ku-streem kuanzia asubuhi hadi jioni. Ndio maana ni muhimu uwe na unlimited data.
Du ni bora kuwa na decider zile zinafungua channel, kwa satelite, zina unafuu mkubwa sana kuliko Android box

sent from HUAWEI
 
Back
Top Bottom