Wale wote wanaotumia bidhaa za kampuni ya Xiaomi tukutane hapa ili kupeana ujanja

Ndo naitumia apa nna mi max 2
58bb367501fc0164c1ba94e09520af11.jpg
 
utofauti wake ni series tu...kuna series za Mi ambapo kuna Mi 1 mpka saiv kuna Mi 6...kuna series za redmi pia ambapo kuna redmi 1 , redmi note, pia kuna series ya Mi Mix
saiv kuna series ya Mi A
Kwa iyo function ni ilele tu, bali wanabadili majina?
 
Naipakuaje hebu nipeni link m Kuna moja nimeidownload imefanana Sana na hio ila n trial na imedumu kwa dakika tano tu wananiambia kubuy mpya nisaidie plz
ingia kwnye app ya theme katika simu yako, then search Small town NY utaipata...ni free kabisa
 
wakuu mimi natumia Xiaomi note lte sasa ninashida battery naweza pata msaada humu?? model ya battery ni bm21
 
ingia kwnye app ya theme katika simu yako, then search Small town NY utaipata...ni free kabisa
ingia kwnye app ya theme katika simu yako, then search Small town NY utaipata...ni free kabisa
ingia kwnye app ya theme katika simu yako, then search Small town NY utaipata...ni free kabisa
Hapo kwenyea apps ya theme kiukweli umeniacha tupia screen shot plz
 
Back
Top Bottom