Return Of Undertaker
JF-Expert Member
- Jun 12, 2012
- 4,572
- 26,868
Tuna kazi ya kupambana na xenophobia mbili
Xenophobia ya kwanza ni hii ya South Africa ambayo wanaamini waafrica wenzao kutoka nchi zingine ndio wachawi wao na hawastaili kuishi wala kumiliki mali hivyo ni mwendo wa kuwauwa,kupora na kuchoma mali zao.wanaamini hawa waafrica kutoka nchi zingine wakiondolewa wao wenyeji watakuwa na maendeleo na maisha mazuri.
Xenophobia ya pili ni hii ya TZ inayoongozwa na Rais ambayo wanaamini wapinzani ambao ni watz wenzao ndio wachawi wao hivyo ndio wanaokwamisha maendeleo wanaamini bila hawa wapinzani watapiga sana hatua kwa hiyo ni mwendo wa kuwateka,kuwauwa ama kuwafunga jela na mpinzani ni marufuku kumiliki mali ukimiliki utapewa kesi ya kuhujumu uchumi na kutakatisha fedha n.k.
Xenophobia ya South Africa wanaharibu mali za waafrica wenzao kutoka nchi nyingine na xenophobia ya TZ wanaharibu mali za wapinzani na watz wenzao kama ilivyokuwa shamba la Mbowe na club yake.
Xenophobia ya South Africa inafurahia vifo vya waafrica wenzao kutoka nchi zingine na xenophobia wa TZ anafurahia vifo,kutekwa na kufungwa kwa wapinzani ambao ni watz wenzao.
Maajabu ni kwamba Xenophobia ya TZ inalaani matendo ya xenophobia ya south Africa wakati matendo yao ni sawa.Yani ni sawa na liverpool inailaani Manchester City kuifunga Arsenal wakati na yenyewe liverpool ndio tabia yake kuifunga Arsenal.
Ni ngumu sana kutofautisha MATAGA na Xenophobia.
#Sumu_ya_nyigu
#freedom_fighter