Xenophobia: yanayotokea Afrika Kusini hayana tofauti na ubaguzi wa sasa Tanzania kati ya CCM na upinzani

Return Of Undertaker

JF-Expert Member
Jun 12, 2012
4,572
26,867
Tuna kazi ya kupambana na xenophobia mbili

Xenophobia ya kwanza ni hii ya South Africa ambayo wanaamini waafrica wenzao kutoka nchi zingine ndio wachawi wao na hawastaili kuishi wala kumiliki mali hivyo ni mwendo wa kuwauwa,kupora na kuchoma mali zao.wanaamini hawa waafrica kutoka nchi zingine wakiondolewa wao wenyeji watakuwa na maendeleo na maisha mazuri.

Xenophobia ya pili ni hii ya TZ inayoongozwa na Rais ambayo wanaamini wapinzani ambao ni watz wenzao ndio wachawi wao hivyo ndio wanaokwamisha maendeleo wanaamini bila hawa wapinzani watapiga sana hatua kwa hiyo ni mwendo wa kuwateka,kuwauwa ama kuwafunga jela na mpinzani ni marufuku kumiliki mali ukimiliki utapewa kesi ya kuhujumu uchumi na kutakatisha fedha n.k.

Xenophobia ya South Africa wanaharibu mali za waafrica wenzao kutoka nchi nyingine na xenophobia ya TZ wanaharibu mali za wapinzani na watz wenzao kama ilivyokuwa shamba la Mbowe na club yake.

Xenophobia ya South Africa inafurahia vifo vya waafrica wenzao kutoka nchi zingine na xenophobia wa TZ anafurahia vifo,kutekwa na kufungwa kwa wapinzani ambao ni watz wenzao.

Maajabu ni kwamba Xenophobia ya TZ inalaani matendo ya xenophobia ya south Africa wakati matendo yao ni sawa.Yani ni sawa na liverpool inailaani Manchester City kuifunga Arsenal wakati na yenyewe liverpool ndio tabia yake kuifunga Arsenal.

Ni ngumu sana kutofautisha MATAGA na Xenophobia.

#Sumu_ya_nyigu
#freedom_fighter
 
Tuna kazi ya kupambana na xenophobia mbili

Xenophobia ya kwanza ni hii ya south Africa ambayo wanaamini waafrica wenzao kutoka nchi zingine ndio wachawi wao na hawastaili kuishi wala kumiliki mali hivyo ni mwendo wa kuwauwa,kupora na kuchoma mali zao.wanaamini hawa waafrica kutoka nchi zingine wakiondolewa wao wenyeji watakuwa na maendeleo na maisha mazuri.

Xenophobia ya pili ni hii ya TZ inayoongozwa na Rais ambayo wanaamini wapinzani ambao ni watz wenzao ndio wachawi wao hivyo ndio wanaokwamisha maendeleo wanaamini bila hawa wapinzani watapiga sana hatua kwa hiyo ni mwendo wa kuwateka,kuwauwa ama kuwafunga jela na mpinzani ni marufuku kumiliki mali ukimiliki utapewa kesi ya kuhujumu uchumi na kutakatisha fedha n.k.

Xenophobia ya south Africa wanaharibu mali za waafrica wenzao kutoka nchi nyingine na xenophobia ya tz wanaharibu mali za wapinzani na watz wenzao kama ilivyokuwa shamba la Mbowe na club yake.

Xenophobia ya south Africa inafurahia vifo vya waafrica wenzao kutoka nchi zingine na xenophobia wa TZ anafurahia vifo,kutekwa na kufungwa kwa wapinzani ambao ni watz wenzao.

Maajabu ni kwamba Xenophobia ya tz inalaani matendo ya xenophobia ya south Africa wakati matendo yao ni sawa.Yani ni sawa na liverpool inailaani Manchester City kuifunga Arsenal wakati na yenyewe liverpool ndio tabia yake kuifunga Arsenal.

Ni ngumu sana kutofautisha MATAGA na xenophobia.

#Sumu_ya_nyigu
#freedom_fighter
Mmmmhhh!!
The bitter truth !
 
Mwafrika ni binadamu duni kabisa!!

Kuna walinibeza/walinibisha katika hii mada ila ukweli inawezekana sisi ni binadamu wa kiwango cha chini kabisa kuliko binadamu wote!

Huo ndio ukweli wenyewe. Mi UVCCM inalaumu wabaguzi wa South wakati yana implement the same thing here thidi ya watanzania wenzao
 
Mwafrika ni binadamu duni kabisa!!

Kuna walinibeza/walinibisha katika hii mada ila ukweli inawezekana sisi ni binadamu wa kiwango cha chini kabisa kuliko binadamu wote!

Umeishapata taarifa kuwa ndege inarudi? Sisi leo ni siku ya mapumziko kwa kushangilia ushindi wa Magufuli dhidi ya yenu
 
Endeeleni kuz
Umeishapata taarifa kuwa ndege inarudi? Sisi leo ni siku ya mapumziko kwa kushangilia ushindi wa Magufuli dhidi ya yenu
Endeeleni kuzirusha kama hazijakamtwa tena na zikamate tu.

Mmesalimika Afrika kusini msidhani mtasalimika na kwingineko.

Lipeni madeni ya watu.
 
Endeeleni kuz

Endeeleni kuzirusha kama hazijakamtwa tena na zikamate tu.

Mmesalimika Afrika kusini msidhani mtasalimika na kwingineko.

Lipeni madeni ya watu.
Mnatafuta hela ya kampeni kimabavu. Hamtafanikiwa, tutaendelea kuzirusha hadi Londoni ndipo mtaona jeuri ya Magu. Msemaji wa Serikali juzi alimtisha TL kuwa wote walioshiriki kuhujuma ndege watapewa kesi ya uhujumu. Naona ameghairi kurudi anaogopa aliyoyafanya yatamtokea puani. Ref Video ya Msiba
 
Umeishapata taarifa kuwa ndege inarudi? Sisi leo ni siku ya mapumziko kwa kushangilia ushindi wa Magufuli dhidi ya yenu

Sasa kama Magufuli alikuwa anashindana naye, ulitarajia yeye amsifie?
 
8 Reactions
Reply
Back
Top Bottom