mng'ato
JF-Expert Member
- Oct 27, 2014
- 29,204
- 48,983
Hahah hajui kusoma wala kuandika na bado akawa rais kwny nchi yenye uchumi mkubwa wa Africa kisa eti alikua mhamasishaji mzuri enzi za mapambano ya makaburu.
Waafrica wamerogwa kidizaini aisee.
Waafrica wamerogwa kidizaini aisee.
Wanaojitambua hasa ni wale wazungu(makaburu) lakini siyo waafrika Kusini weusi.
Watu weusi wengi ni ignorants wa hali ya juu kabisa huwezi kuamini. Kumbuka ya kwamba hata Rais Jacob Zuma hajawahi kusoma shule hata darasa moja, kusoma na kuandika amefundishwa akiwa na umri wa Kuanzia miaka 35.Hajawahi kwenda shule yoyote ile ktk maisha yake.