masupio
Senior Member
- Sep 16, 2014
- 179
- 201
Ni dhahiri mpaka sasa swala hili la "xenophobia S.Africa" cyo jambo ngeni tena. Hakuna Mwafrika yoyote aliposikia swala hili hakuacha kuwalaani vijana hawa wa Durban na kwingineko bondeni kwa their barbaric actions.
Swali ni Je ni sahihi kuwatupia lawama moja kwa moja vijana hawa wa bondeni? Kwa mtazamo wangu jibu ni hapana. Wakulaaniwa katika hili ni viongozi wa nchi zetu za kiafrika husuani SADC. Wameshindwa kusuluhisha nchini mwao changamoto za ajira,elimu afya, kiuchumi hii ni kwa uchache tu.
Hii imesababisha vijana wasaka maendeleo kwa nguvu kukimbilia nchi yenye asali na maziwa kusaka chochote kitu. Reaction ya vijana wa Durban et el is very expected reaction.
Nikama kumbananisha paka kwenye kona utegemee anywee/awe mpolee tuu..you will be very wrong my friend. Vijana hawa wamenyimwa fursa nchini mwao na waliyoyafanya hata vijana watanzania na nchi yoyote ambayo inaendelea kama S.Africa nisingeshangaa kama yangetokea haya haya yalio tokea bondeni.
Kuwarudisha raia katika nchi walizotoka SIYO suluhisho pekee hili…sababu to begin with hawakupelekwa na serikali zao huko S.Africa.
Suluhisho pekee na lamuda mrefu ni kuongeza ajira, kuwa na huduma bora za kiafya ,kijamii, elimu, kuimarisha fedha na kadhalika. Haya ndio mambo ya kushugulikia. Sasa badala ya kuweka pressure kwa viongozi wetu katika haya tunapoteza nguvu kuwalaumu wa South Africa kwa kukosa ubinadamu.. wapi na wapi…ni kukosa upeo wa mtazamo kina katika mambo.
Sisemi vijana wa bondeni wasilaumiwe lakini lawama kubwa ni kwa Serikali zetu za kiafrika.
After all they are all the same.