X wangu mmoja kaolewa weekend hii. Kuna kakitu sielewi

Kinachokusumbua ni roho mbaya, wivu na chuki, umeona mwenzio yupo vizuri na mume aliyemuoa ni Mr. Handsome ukajiwazia ulivyokua unamnyanyasa mtoto wa watu wakati una pua kubwa kama ngumi ya baunsa, meno yameachana achana kama muhindi wa kushea, ukajitazama tena vile kikomwe kilivyochomoza kama tunda ya ubuyu dah ukazidi kujiona lofa mbele ya husband wa ex wako, kilichokunyong'onyesha zaidi roughly umeona harusi ilitumika sio chini ya Mil. 100 ukasema tooba acha nimblock tu.

Hahahahahaha
#justKidding#
nimecheka km mwehu lol.
 
Mkuu..kuhusu swala la uhandsome..litoe tu...mi nmekua najijua handsome..naambiwa we ni mzur na wanawake..toka nakua nalijua hilo...so naomba ulitoe tu hlo swala...skutaka ongea hlo ila imenibid nikujib hvyo...sinaga shaka na hlo swala na wala sjawai liwazia .

Bila picha ni uongoo
 
Back
Top Bottom