X wangu mmoja kaolewa weekend hii. Kuna kakitu sielewi

Napoleone

JF-Expert Member
Apr 11, 2012
10,087
15,959
Aisee! Mpaka muda huu sielewi tatzo nini wakati si kwamba ndio GF niliempenda kihivyo. Ila tulidumu muda mrefu sana alikua ananipenda sana. Katika wanawake walionipendaga huyu alizidi.

Nilikua namfanyia mambo mengi ya ajabu ila alikua haniachi...hadi kuna siku nakumbuka alijuaga nmecheat na mtu ambae ni rival wake toka chuo huko..alinimind sanaa na ndio nahis kisa cha kuachana..

Though baada ya kugundua tulidumu zaidi for 2 yrs more...

Alikuaga anasema mimi ndio soulmate wake namimi ndio nitakuja muoa. Huyu demu nilikua namliza sana dah tumeachana muda kdogo ila tulikua tunawasiliana still.

Sasa bwana kumbe ameolewa nimeona picha..aisee..nikajiskia vibaya sana. Though kuna siku aliwahi nambia.."mbona sikuhizi sipendi kama zamani tofauti na kipindi niko na wewe" hapo tumeachana muda kumbuka.

So, kichwani nikawa najua tu huyu bado ananipenda sema ndio hivyo

Sasa jana dah, nimeona pic instagrm..kwanza picha linaanza kwenye status yake ..whatsap..sikuamini nikasema labda photoshoot tu kafanya ..heee..nikaibamba wedding instagram, asiee..nilihisi kuishiwa nguvu..ila

Nmeshamblock...aisee..nmeteseka weekend hii..daaah

Enewei

Uzi tayar
 
Dawa ya kumsahau:

1. Usikumbuke mazuri yake alokufanyia bali kumbuka mabaya tu alokufanyia hakika utamsahau chap maana utakuwa ukikumbuka unahisi hasira.

2. Kubali matokeo na maisha yataendelea kama kawaida.

3. Jaribu kufanya vitu vinavyokupa furaha.

4. Chukulia amekuondolea vikwazo vya kukutuhumu kutembea na wanawake wengine, kumbe ungekuja kuingia nae kwenye ndoa ange kusumbua

4. Kula dona na ushibe

5. Amini bado kuna nanafasi ya kumpata mwingine zaidi yake atakaekupenda.

©Bin Shaib Official 2021
 
Nilishawahi kumpiga chini demu tena bila sababu na baada tu ya week nika move on kama wasemavyo mabeberu!Ex alisikia hiyo taarifa na alilia sana ila sikujali wala nini ,baada ya mwezi na yeye aka move on!sasa basi huyo mpenzi mpya hakuwa na maajabu yeyote yupo tu kama sanamu!taratibu nikaanza kumkumbuka Ex girlfriend hapo na yeye ashaanza kutupia picha status kwa fujo!nikaanza kuumia nikapiga block kisha na mpenzi mpya nikapiga chini!unajua kilichokuja kutokea!
 
Hahahah.. enheeee..ikawaje mkuu
 
Ulilia kiboya 😂😂😂
 
Back
Top Bottom