x wako anapotaka muonane huwa unafikiri anataka nini

inategemea....kuna ninaowasiliana nao mpaka kesho.....na kuna ambao sitaki hata kuwasikia.....ni vile tuliachanaje.....ndio hapo swala la kuwasiliana linapoanzia......
 
1)murudiane
2) kukudhuru
3) akurudishie vi2 vyako ulivyompa km zawadi
4)akushukuru kwa kuachana nae na pia akutambulishe kwa m2 wake mpya
5)anashida anaomba msaada

kuwa huru useme unapopokea cmu ya ex wako unawaza kipi hapo

Mkuu, umesahau hii..
6) 'kupasha moto kiporo'
 
Back
Top Bottom