Dennis eudes
Member
- Feb 1, 2012
- 24
- 8
*X-Mas Offer* 16GB OTG Flash Disk
Jipatie OTG flash disk zenye uwezo wa kusoma kwenye computer na kwenye android smartphone yako.
Ni za kisasa na zinaweza kutumika kuhifadhia picha, video,audio na mafaili pia.
Unaweza tumia kuhamishia vitu kutoka kwa simu kwenda Simu,Computer,Redio au Deki
16GB - 15,000 tu
(**Jumla Pia Zinapatikana**)
Delivery kwa Dar es Salaam ni 3000
Delivery kwa Mkoani ni 10,000
Tunapatikana Sayansi, Kijitonyama
Wasiliana nasi sasa utoe order yako,
0685068817
0655757717