Wz'bar wafurahia matunda ya Serekali ya Umoja wa kitaifa SUk.

abdulahsaf

JF-Expert Member
Aug 31, 2010
858
130
HOTEL YA BWAWANI KUGEUZWA KUWA SHOPPING CENTER NA CAR PARKING.

Written by Ashakh (Kiongozi) // 04/03/2011 // Habari // No comments

Bwawani-shops2.png



Waziri wa biashara na viwanga Mh Nossor Mazuruwi ametowa ilani ya mchoro wa kuibadilicha Hotel ya Bwawani kuwa Shopping Center na sehemu ya Parking za magari, hii itakuwa ni sehemu ya pili ktk ilani yake ikijumuwishwa na sehemu ya Darajani penye makontena kuwa ni sehemu ya Parking za magari.
 
Back
Top Bottom