Wz’bar kuweza kugunduwa adui wetu ni mmoja tu na hujigeuza kama Kinyonga. | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Wz’bar kuweza kugunduwa adui wetu ni mmoja tu na hujigeuza kama Kinyonga.

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by abdulahsaf, Mar 27, 2011.

 1. a

  abdulahsaf JF-Expert Member

  #1
  Mar 27, 2011
  Joined: Aug 31, 2010
  Messages: 859
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  Written by mkulima // 26/03/2011 // Habari // No comments

  Ama kweli kwa M/Mungu hakuna kubwa? takribani kipindi kirefu Wzanzibar tuligaiwa mapande na kupandikizwa chuki za Uarabu,Upemba na Unguja,U-Cuf na U-ccm lengo ni ili kukidhi malengo ya Muungano yaweze kufanikiwa.
  Hakuna shaka kama Muungano wetu wa Tanzania(Tanganyika)na Zanzibar ulikuwa upande moja hauna nia safi ya kungana bali kulikuwa na agenda ya siri ya kutaka kuitawala Zanzibar ki-Jeshi,kiuchumi na kuifanya powerless ,Hayo yote M/mungu ameweza kuyaweka wazi na kujuwa Mchawi wetu ni nani na nia yake ni nini yote yamezihirika wazi.
  Tukumbuke tu Wzanzibar ni miafaka mingapi ilio simamiwa na Tanganyika ya kutuleta pamoja Wzanzibar na haikufua dafu na wala kufanya kazi kwa vile wenzetu lengo sio kuwa pamoja Wzanzibar? na mwicho humimina sumu ya kutugawa kwa misingi misingi ya historia za hizbu na afro-shirazi,upemba na unguja uarabu na uafrica hii yote ilikuwa nikupiganishwa vichwa wenywe kwa wenyewe kwa misingi ya ukabila.
  Mbona tulipo kaa chini Wzanzibar wenyewe kutatua matatizo yetu wenyewe wenzetu waliumia na kufanya donge mpaka leo baado wana sononeka kwa nini Wzanzibar wameweza kuelewana na kuwa kitu kimmoja Why? why? why?.
  Jee wamesahau tulipokuwa tukiuwana na wao kutowa msada wa kijeshi tuzidi kumalizana? wapenda haki za Binadamu, Muungano na udugu walikuwa wapi kipindi cha mafaa ya Wzanzibar?.
  ije iwe leo Wzanzibar walipokaa kitako wao donge na chuki kwa nini eti Mh Amani na Maalim Seif wamezungumza nini hasa la siri na wakaweza kukubaliana?
  kilicho zungumzwa na Mh Amani na Maalim Seif ni kugunduwa aduwi wetu ni mmoja mwenye kutugonganicha vichwa wzanzibar na kuwagawa kwa jina la Muungano na Katiba ya Tanganyika.
  Kwa hio matunda ya muafaka ndio haya tunayo jivunia leo Wzanzibar na laumuhimu kwa sasa ni Zanzibar na kizazi chake,siasa bada ya kwisha kushiba na kwenda mbweu ktk vikao vya kahawa.
  Zanzibar itajengwa na Wzanzibar wenyewe,lengo la Muungano ilikuwa nikuipomowa Zanzibar ikafika hapa ilipofika.
  Asari za Muungano kwa jamii ya ki-Zanzi cha Zanzibar ni nyingi na zinazidi kuendelea kuasiri utazani Atomic Bomu la Nakasaki HiroShima.
  Mimi nasema kwa kifua kipana Wzanzibar imefika imefika wakati wakusema Baasi imetosha,Basi imetosha, Wzanzibar tuseme basi imetosha Muungano hatuutaki asari zake ni nyingi na zinazidi kuabukiza na kuenea hatuwezi kupenda kitu kisicho na faida na sisi.
  Nyiyi Wtanganyika munaojita Wtanzania na kukataa utaifa wa nchi yenu mulioipigania uhuru hamuoni kuwa nyiyi ndio wakuzungumza kuhusu Muungano sio katiba? lakini kutokana na nafsi zenu kuwa hamujiamini imebidi mukumbatie Muungano hata kama Muungano wenyewe Wazanzibar hawautaki na wanataka leo kecho ufe na tugawane mbao kila mtu kivyake.
  Lakini ujanja wenu mwicho wake karibu lengo la Zanzibar hivi sasa ni kuunganicha nguvu moja na kukata roho Muungano tatizo ilikuwa ni wanafiki fulani tu wa ccm kukumbadia sana ilani ya chama Dodoma lakini wamecha shutuka kuwa kuitwa kwao Dodoma kwa masuala ya Zanzibar nikuizalilicha nchi yao. kwa hio kazi kwenu mwaka huu ni nyiyi au Muungano. Mungu ibariki Zanzibar na wZanzibar wote.
   
 2. N

  Ndjabu Da Dude JF-Expert Member

  #2
  Mar 27, 2011
  Joined: Aug 29, 2008
  Messages: 3,648
  Likes Received: 408
  Trophy Points: 180
  Binafsi, I'm dying kumkamata Mmanga Vuai Nahodha na kumtupa baharini katikati ya Bongo na Zenj siku muungano utakapovunjwa.
   
 3. N

  Ndjabu Da Dude JF-Expert Member

  #3
  Mar 27, 2011
  Joined: Aug 29, 2008
  Messages: 3,648
  Likes Received: 408
  Trophy Points: 180
  Oyaa wee Mmanga ...nilikuwa sijamalizia hapo juu.. na Wamanaga wengineo woote kama AH Mwinyi, Hussein Mwinyi, Bakhresa pamoja na Wapemba woote na Wamanga kiujumla waliojazana Bongo na vitongoji vyake na bila kuwasahau Wamanga wanabees kama "Profesa" Lipumba. Itakuwa ni juu yao kuamua kama waogelee kuelekea masafa ya Zenj au Bongo.
   
 4. Sniper

  Sniper JF-Expert Member

  #4
  Mar 27, 2011
  Joined: Mar 8, 2008
  Messages: 1,944
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 135
  Si mjitenge tu mbona mnataka kutuongezea karaha tu nyie?kila siku chokochoko tu, jitengeni tumeshawasaidia sana nyie watu, na huku bara hatufaidiki na uwepo wenu wala zaidi. tupa kule muungano, wazenji wote mliopo bara mrudi kwenu mkalime karafuu
   
 5. Mipangomingi

  Mipangomingi JF-Expert Member

  #5
  Mar 27, 2011
  Joined: Mar 16, 2011
  Messages: 2,719
  Likes Received: 980
  Trophy Points: 280
  yooooote haya yamesababishwa na jk, Karume senior alikwishasema kwamba hawa wapemba mwisho wao wa madaraka ni mwalimu mkuu tu wa 'skuli'! Mwl. Nyerere alilielewa somo, Mwinyi alilielewa somo, Mkapa alilielewa somo lakini kaja Dr.jk hajaelewa somo hili maskini kaenda kawaweka ikulu, now baada ya kupiga job wanazidi kutughasi tuu oh muungano, oh bodi ya mikopo, oh ....? alimradi hoja za kipuuzipuuzi tu. Hakuna mtanganyika anaeumwa kichwa juu ya outcome ya muungano wenu sawa bana mdogo! Tuna mengi ya kudeal nayo kwa sasa ili mje mdai mgawo vizuri, maana sisi tunachuma nyie mdai pesa za mishahara ya hao wapemba mliowaweka ikulu-wacheni kwanza tuweke misingi imara kwa sasa. Plz wee abdulahsaf, kwa sasa hebu tuache na hizi hoja zako za kuwatoa watafutaji wako ktk concentration ya mambo ya msingi. Means usipost urojo wa namna hii hapa jf!
   
 6. n

  ngwendu JF-Expert Member

  #6
  Mar 27, 2011
  Joined: Jun 7, 2010
  Messages: 1,967
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 0
  kuna ukweli hapo mkuu kwenye maneno yao. Watangulizi wa JK walijua kuwa ni lazima kuwagawa wazanzibar ili wawatawale na ikiwezekana waweze kupeleka dini yetu kule visiwani kwani haipo lakini alipokuja JK somo halikuingia kabisa. Naunga mkono huu muungano ufe.
   
Loading...